Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Anakupeni taarifa nyinyi mnaoamini mwamba wa chato alikua na maono,maana mmejazwa propaganda na hamjui mambo ya nchi,jakaya alikubaliana na wachina kujenga sgr,kipindi Kenya wanajenga yao kwa pesa za wachina,alishaongea na wabrazil kujenga bwawa la umeme
Unaweza kuta hata baba yako alizungumza na Bakhresa waanzishe makampuni. Bakhresa akaanzisha wewe na baba yako mnapita mitaani kusema viwanda vya Bakhressa mlimshauri na kumpa ramani. Sijui kama umenielewa.