Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwahiyo leo mimi nikitangaza nitajenga daraja la kutoka Magogo mpaka Zanzibar nakuwa namaanisha au ni usanii?
At last imekuwa kweli, pongezi kwa late Mkapa, Jkikwete, na kidogo kwa MAMA.Mipango ya nchi siyo sawa na kupika ubwabwa wa shughuli. Ni process yenye hatua nyingi
Ndio hivyo huwa mnadanganywa kirahisi unakuta eneo lina miaka 60 tangu uhuru hakuna bomba la maji, umeme au barabara ya lami.Mipango ya nchi siyo sawa na kupika ubwabwa wa shughuli. Ni process yenye hatua nyingi
Lakini mwendazake alitaka tuamini ndivyo sivyo!Mipango ya nchi siyo sawa na kupika ubwabwa wa shughuli. Ni process yenye hatua nyingi
Uwanja wa Chato, Daraja la kigongo Busisi, na ununuzi wa ndege vilipitia michakato ipi??Mwenyewe kasema alianzisha Mkapa, yeye kaendeleza mchakato.
Kila kitu kikubwa au kizuri ili kifanikiwe kikamilike lazima kipitie michakato (processes).
Maneno matupu hayana substance.Hata mimi kwa kweli imeniuma sana.
Sema ndo hivyo watu wakishakuchukia, hata ukisema ukweli lazima watautilia shaka.
Ila mipango ya kuiba hela za nchi huwa inapitia michakato gani? Mbona kila mwaka CAG anatoa ripoti za madudu?Mipango ya nchi siyo sawa na kupika ubwabwa wa shughuli. Ni process yenye hatua nyingi
Bwawa la Nyerere nalo alikuwa na mchango wake mule?😂umesahau bwawa la nyerere alipoenda kuwashwawashwa pembeni yake. si alete na mada motomoto kama alivyoponea tundu la choo 2010
Alifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.Technology bana watoto walikuwa bado hawajazaliwa wakatiki anaongea thus akaja kukurupuka na uzi huu, kuwa makini unapoandika
Mzee kikwete alifanya mambo mengi saana na yy ndo alimwambia Magu agombee na jk ndo founder wa makonda watchout bro
Hii mifano haina uhalisia.Maneno matupu hayana substance.
Mtu akitia nia ya kuoa tu na yule aliyelipa posa na kuanza mafunzo ya ndoa nani ataonekana yuko serious?
Angalau hapa umetoa maoni kwa kuafiki kuwa kuna waliotangulia na wamefanya yao.Alifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.
We imagine JPM katengeneza vitu vingapi kwa wakati mfupi namna hio. Mengine wana CCM waliona kama hatustahili au hayawezekani ila Magufuli alithubutu na yanaonekana leo na yatanufaisha vizazi na vizazi.
Na hio ni sababu hakukuwa na mtu wa kumzinga zinga mbele. It means toka akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na vision ya mambo makubwa ila kulikuwa na mtu mbele anamwambia ngoja kwanza tutafanya tu. Miaka nenda rudi subiri subiri haziishi.
Sawasawa ✔️Hii mifano haina uhalisia.
Kwenye SGR, sifa anastahili JPM, ila huwezi msifia kwa kuwaponda watangulizi wake sababu hajafanya aliyoyafanya from nothing kama MUNGU alivyoiumba dunia. Yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya watendaji wa maraisi waliopita.
SGR kabla ya ujengwaji wake kuna mambo mengi yanatangulia yasiyoonekana huku nje, na ni mambo ya muhimu ikiwemo ipite wapi na kwanini, bajeti n.k Haya mambo JPM ameyarithi kwa JK kisha akayasimamia vizuri mpaka tunayaona leo yakitunufaisha.
Hizi ibada uchwara ni kujidhalilisha tu.
Sahihi, sio unatangaza nia afu miaka 10 baadaye ndio utekelezaji unaanzaInatakiwa wafanye mambo chapuchapu na sio kutangaza nia. Inatakiwa mtu kutangaza uwe tayari na pesa LLD na HLD ziko in place tayari. Unatangaza hivyo na kuwaambia ujenzi unaanza tarehe fulani. Huo ndo muono wangu.