Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Wengi tunajua hili, sifa zinaenda kwa JPM sababu yeye ndo alisimamia ujenzi wake kikamilifu mpaka alipofariki.

Ukiachana na washamba washamba wanaomuabudu kama vile alikuta hii nchi ni jangwa akaigeuza kuwa kama jinsi ilivyo sasa, JPM ni moja wa maraisi waliosimamia miradi ya serikali vizuri.
 
Mipango ya nchi siyo sawa na kupika ubwabwa wa shughuli. Ni process yenye hatua nyingi
Ila mipango ya kuiba hela za nchi huwa inapitia michakato gani? Mbona kila mwaka CAG anatoa ripoti za madudu?

Huyo mzee wala hana relevance sababu hakuna alichokifanya zaidi ya kutia nia ila hakutekeleza aliyemfuata ndiye katekeleza.
 
Technology bana watoto walikuwa bado hawajazaliwa wakatiki anaongea thus akaja kukurupuka na uzi huu, kuwa makini unapoandika
Mzee kikwete alifanya mambo mengi saana na yy ndo alimwambia Magu agombee na jk ndo founder wa makonda watchout bro
Alifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.

We imagine JPM katengeneza vitu vingapi kwa wakati mfupi namna hio. Mengine wana CCM waliona kama hatustahili au hayawezekani ila Magufuli alithubutu na yanaonekana leo na yatanufaisha vizazi na vizazi.

Na hio ni sababu hakukuwa na mtu wa kumzinga zinga mbele. It means toka akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na vision ya mambo makubwa ila kulikuwa na mtu mbele anamwambia ngoja kwanza tutafanya tu. Miaka nenda rudi subiri subiri haziishi.
 
Maneno matupu hayana substance.
Mtu akitia nia ya kuoa tu na yule aliyelipa posa na kuanza mafunzo ya ndoa nani ataonekana yuko serious?
Hii mifano haina uhalisia.

Kwenye SGR, sifa anastahili JPM, ila huwezi msifia kwa kuwaponda watangulizi wake sababu hajafanya aliyoyafanya from nothing kama MUNGU alivyoiumba dunia. Yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya watendaji wa maraisi waliopita.

SGR kabla ya ujengwaji wake kuna mambo mengi yanatangulia yasiyoonekana huku nje, na ni mambo ya muhimu ikiwemo ipite wapi na kwanini, bajeti n.k Haya mambo JPM ameyarithi kwa JK kisha akayasimamia vizuri mpaka tunayaona leo yakitunufaisha.

Hizi ibada uchwara ni kujidhalilisha tu.
 
Hakuna namba isiyoanza na 1,Kikwete ndio alianzisha nia,ikadakwa na JPM akaendeleza naye kaishia njiani,ikadakwa na Samia naye hatujui kama atamalizia,huo ndio utaratibu,mbona wazo la kuhamishia makao makuu Dodoma alilianzisha Nyerere lakini ikawa vigumu kulisongesha kwa speed aliyoenda naya JPM mpk limetimia leo hii,mbona hata bwawa la Nyerere muasisi Nyerere alitoa nia lakini limekuja kusongeswa na JPM?ila huyu JPM kwakweli ndio mthubutu maua yake lazima apewe...
 
Alifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.

We imagine JPM katengeneza vitu vingapi kwa wakati mfupi namna hio. Mengine wana CCM waliona kama hatustahili au hayawezekani ila Magufuli alithubutu na yanaonekana leo na yatanufaisha vizazi na vizazi.

Na hio ni sababu hakukuwa na mtu wa kumzinga zinga mbele. It means toka akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na vision ya mambo makubwa ila kulikuwa na mtu mbele anamwambia ngoja kwanza tutafanya tu. Miaka nenda rudi subiri subiri haziishi.
Angalau hapa umetoa maoni kwa kuafiki kuwa kuna waliotangulia na wamefanya yao.

Tusisahau nchi siyo ujenzi tu, kuna maslahi ya wananchi pia. Mfano, ukifuta miaka 10 ya JK umefuta nyongeza za mishahara kwa kiwango kikubwa mno kwa watumishi, umefuta ajira za kumwaga, umefuta biashara mpya kibao, umefuta uwekezaji kutoka nje. Wakati wa JK haya mambo yalifanyika vizuri mno na yalimgusa mwananchi wa kawaida tofauti na awamu nyingine japo ndo kipindi watumishi wa uma walikuwa nidhamu ipo chini.

Kaja Chuma JPM, watumishi wa uma nidhamu ikarudi, akasema fungeni mikanda, tunaamia kwenye ujenzi mambo ya nyongeza za mishahara subirini, fanyeni kazi. Watu wakafunga mikanda. Akafanya aliyoyafanya na mengine sijui alikuwa anawaza nini mfano Chato airport, labda angekuwa hai tungekuwa tumeshamuelewa.
 
Hii mifano haina uhalisia.

Kwenye SGR, sifa anastahili JPM, ila huwezi msifia kwa kuwaponda watangulizi wake sababu hajafanya aliyoyafanya from nothing kama MUNGU alivyoiumba dunia. Yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya watendaji wa maraisi waliopita.

SGR kabla ya ujengwaji wake kuna mambo mengi yanatangulia yasiyoonekana huku nje, na ni mambo ya muhimu ikiwemo ipite wapi na kwanini, bajeti n.k Haya mambo JPM ameyarithi kwa JK kisha akayasimamia vizuri mpaka tunayaona leo yakitunufaisha.

Hizi ibada uchwara ni kujidhalilisha tu.
Sawasawa ✔️
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Inatakiwa wafanye mambo chapuchapu na sio kutangaza nia. Inatakiwa mtu kutangaza uwe tayari na pesa LLD na HLD ziko in place tayari. Unatangaza hivyo na kuwaambia ujenzi unaanza tarehe fulani. Huo ndo muono wangu.
Sahihi, sio unatangaza nia afu miaka 10 baadaye ndio utekelezaji unaanza
 
Back
Top Bottom