Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Bongo wepesi wa kusahauRais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.
Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.
View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u
CHANZO: ITV
MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
Angetekeleza wasingesahauBongo wepesi wa kusahau
Acheni hizo, hiyo inakuwa kwenye mpango wa taifa wa miaka mitano na huwa hizo mega projects zinaainishwa then zinatengewa bajeti yake. Sio eti kila raisi anakuja na mradi wake. Tukumbuke hela ni zetu kwa hiyo serikali ikiongozwa na raisi ndio hutekeleza. Pia miradi ina michakato mingi, kwa hiyo inawezekana kabisa ilianza hata kipindi cha mkapa.SGR,JNHPP,BRT phase 2 kwenda mbele,flyovers etc,Tanzanite bridge,busisi bridge,wami bridge,gvt city,magufuli,bridge etc zote JPM
Lakini mwendazake alitaka tuamini ndivyo sivyo!
Ila mipango ya kuiba hela za nchi huwa inapitia michakato gani? Mbona kila mwaka CAG anatoa ripoti za madudu?
Huyo mzee wala hana relevance sababu hakuna alichokifanya zaidi ya kutia nia ila hakutekeleza aliyemfuata ndiye katekeleza.
Sawa ila kwenye SGR msimpe sifa ambazo hastahiliHilo la relevance ni maoni yako tu haiondoi ukweli kuwa alijenga UDOM, Mloganzila, Mabarabara mengi tu, Mieadi ya umeme Kinyerezi 1 na 2, Mwendokasi, Uwanja wa Ndege wa JKN, Daraja la Kigamboni, Malagarasi na mamiradi mengi tu ambayo mwendazake alijilimikisha baada ya kuingia madarakani.
JK hakujenga uwanja wa Ndege wa JKNI, aliongeza Terminal 3 tu ambayo nayo haikuimaliza hadi anaondoka.Hilo la relevance ni maoni yako tu haiondoi ukweli kuwa alijenga UDOM, Mloganzila, Mabarabara mengi tu, Mieadi ya umeme Kinyerezi 1 na 2, Mwendokasi, Uwanja wa Ndege wa JKN, Daraja la Kigamboni, Malagarasi na mamiradi mengi tu ambayo mwendazake alijilimikisha baada ya kuingia madarakani.
Kuahidi ni Rahis lakini bingwa ni yule anayetafuta fedha na kusimamia.Harafu hapa kikwete alikuwa na akili ya SGR kama Ile ya Kenya inayotumia mafutaRais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.
Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.
View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u
CHANZO: ITV
MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa.
Rais Samia Suluhu Hassan naye atamuachia mwingine kumalizaAsante Intaneti na google, historia inawekwa sawa. Miradi mikubwa mtu mmoja hawezi kukamilisha.
Kiko wapi?Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.
Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.
View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u
CHANZO: ITV
MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
Alikuwa mzee wa michakato tupu, nchi ilipata hasara sana kuwa na huyu uongozini
Alifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.
We imagine JPM katengeneza vitu vingapi kwa wakati mfupi namna hio. Mengine wana CCM waliona kama hatustahili au hayawezekani ila Magufuli alithubutu na yanaonekana leo na yatanufaisha vizazi na vizazi.
Na hio ni sababu hakukuwa na mtu wa kumzinga zinga mbele. It means toka akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na vision ya mambo makubwa ila kulikuwa na mtu mbele anamwambia ngoja kwanza tutafanya tu. Miaka nenda rudi subiri subiri haziishi.
Alikuwa mzee wa michakato tupu, nchi ilipata hasara sana kuwa na huyu uongozini
🖐SGR ilipaswa kuanza wakati wa JK ila alikuwa na tabia ya uzembe na upigaji.
Very true maguguli alikuwa na mission na vision ndo maana tukafikaAlifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.
We imagine JPM katengeneza vitu vingapi kwa wakati mfupi namna hio. Mengine wana CCM waliona kama hatustahili au hayawezekani ila Magufuli alithubutu na yanaonekana leo na yatanufaisha vizazi na vizazi.
Na hio ni sababu hakukuwa na mtu wa kumzinga zinga mbele. It means toka akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na vision ya mambo makubwa ila kulikuwa na mtu mbele anamwambia ngoja kwanza tutafanya tu. Miaka nenda rudi subiri subiri haziishi.
Kikwete amejenga barabara kibao kipindi chake sema kipindi chake hakuwa mtu wa kuchukua sifa za kila kitu ndio maana magufuli naye alipata sifa za kujenga barabara kama waziri kwa sababu kikwete hakuwa mtu wa kubeba credit za mawaziri...barabara zilizojengwa wakati wa Kikwete thamani yake ni trillion ngapi?
..kitu kingine Kikwete hakujitangaza sana kama Magufuli matokeo yake hapaswi sifa za kujenga miundombinu.
..kwa upande mwingine Kikwete alikuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi ya pale alipofika.
..SGR ilipaswa kuanza wakati wa JK ila alikuwa na tabia ya uzembe na upigaji.
Very true maguguli alikuwa na mission na vision ndo maana tukafika
Yote kwa sababu ya chuki tu,waziri mkuu hana ubavu wa kuamua kitu bali Rais ndiye mwenye mamlaka hata barabara utasikia Magufuli lakini wakati wa Magufuli kila kitu alikuwa akisifiwa Rais husikii PM wala waziri wa ujenzi.Watu ukiwauliza shule za Kata wanasema ni Lowasa huyo teh teh teh
Hivyo ndivyo jinsi JK anavyochukiwa