Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!

Bongo wepesi wa kusahau
 
SGR,JNHPP,BRT phase 2 kwenda mbele,flyovers etc,Tanzanite bridge,busisi bridge,wami bridge,gvt city,magufuli,bridge etc zote JPM
Acheni hizo, hiyo inakuwa kwenye mpango wa taifa wa miaka mitano na huwa hizo mega projects zinaainishwa then zinatengewa bajeti yake. Sio eti kila raisi anakuja na mradi wake. Tukumbuke hela ni zetu kwa hiyo serikali ikiongozwa na raisi ndio hutekeleza. Pia miradi ina michakato mingi, kwa hiyo inawezekana kabisa ilianza hata kipindi cha mkapa.
 
Wabongo hua tunasahau upesi sana. Na pia ni wakurupukaji, Tena wepesi kudanganywa...hii miradi ilikuwa ni mipango ya serikali, mingine ilikwishatengewa fedha na mingine iloshaomnewa fedha na serikali ya awamu ya tatu na nne... JPM alikuwa waziri wa ujenzi na anayajua haya..alipokuwa Rais alitekeleza miradi iloyoleishapangwa na WENZAKE...ni vile tu serikali Ile ilianzaga mambo ya kusifu sana..nasema Ally Mwinyi, Mkapa na Kikwete walifanya makubwa sana ya maendeleo nchi hii
 
Ila mipango ya kuiba hela za nchi huwa inapitia michakato gani? Mbona kila mwaka CAG anatoa ripoti za madudu?

Huyo mzee wala hana relevance sababu hakuna alichokifanya zaidi ya kutia nia ila hakutekeleza aliyemfuata ndiye katekeleza.

Hilo la relevance ni maoni yako tu haiondoi ukweli kuwa alijenga UDOM, Mloganzila, Mabarabara mengi tu, Mieadi ya umeme Kinyerezi 1 na 2, Mwendokasi, Uwanja wa Ndege wa JKN, Daraja la Kigamboni, Malagarasi na mamiradi mengi tu ambayo mwendazake alijilimikisha baada ya kuingia madarakani.
 
Sawa ila kwenye SGR msimpe sifa ambazo hastahili
 
Hilo la relevance ni maoni yako tu haiondoi ukweli kuwa alijenga UDOM, Mloganzila, Mabarabara mengi tu, Mieadi ya umeme Kinyerezi 1 na 2, Mwendokasi, Uwanja wa Ndege wa JKN, Daraja la Kigamboni, Malagarasi na mamiradi mengi tu ambayo mwendazake alijilimikisha baada ya kuingia madarakani.
JK hakujenga uwanja wa Ndege wa JKNI, aliongeza Terminal 3 tu ambayo nayo haikuimaliza hadi anaondoka.
 
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!

Kuahidi ni Rahis lakini bingwa ni yule anayetafuta fedha na kusimamia.Harafu hapa kikwete alikuwa na akili ya SGR kama Ile ya Kenya inayotumia mafuta
 
Asante Intaneti na google, historia inawekwa sawa. Miradi mikubwa mtu mmoja hawezi kukamilisha.
Rais Samia Suluhu Hassan naye atamuachia mwingine kumaliza

Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.

View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!

Kiko wapi?
 
Alikuwa mzee wa michakato tupu, nchi ilipata hasara sana kuwa na huyu uongozini

..hakuna awamu ambayo hajafanya maamu
Alifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.

We imagine JPM katengeneza vitu vingapi kwa wakati mfupi namna hio. Mengine wana CCM waliona kama hatustahili au hayawezekani ila Magufuli alithubutu na yanaonekana leo na yatanufaisha vizazi na vizazi.

Na hio ni sababu hakukuwa na mtu wa kumzinga zinga mbele. It means toka akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na vision ya mambo makubwa ila kulikuwa na mtu mbele anamwambia ngoja kwanza tutafanya tu. Miaka nenda rudi subiri subiri haziishi.

..waliowezesha nchi kuwa na access na matrilion ni Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa.

..Mwinyi na Mkapa walikuta serikali ina matatizo makubwa ya kifedha na ina wakati mgumu sana kupata misaada au mikopo.

..Mzee Kikwete, Magufuli, na Mama Samia, wao wamekuta nchi inaweza kukopeshwa, na kupata misaada toka nje.

..hakuna Raisi ambaye hakujenga mradi wa umeme, daraja la kimkakati, au kuendeleza bandari.

..kwa mfano, daraja la mto Rufiji, ujenzi wake ulianza wakati wa Mzee Mwinyi ukakamilika wakati wa Mzee Mkapa. Wananchi wa mikoa ya kusini walikuwa na shida kubwa ya usafiri wa barabara wakati wa Rais Nyerere, na Mwinyi, wamepata nafuu wakati wa Mkapa.

..Mkapa ndio alikamilisha ujenzi wa daraja la Mto Rufiji lakini hawezi kubeza jitihada za Nyerere na Mwinyi kupeleka barabara kusini.

NB:

..Wazo la kujenga bwawa la umeme Stieglers lilikuwepo toka wakati wa Mwalimu Nyerere.

..pia kulikuwa na wazo barabara ya kwenda mikoa ya kusini ipite ktk mradi wa Stieglers.

..Mradi wa ujenzi wa reli toka Tanga kwenda Musoma uko kwenye mipango ya serikali toka wakati wa Mwalimu Nyerere. Na una kikwazo kikubwa kwamba unaepuka vipi kupita ktk mbuga ya Serengeti.
 
Alikuwa mzee wa michakato tupu, nchi ilipata hasara sana kuwa na huyu uongozini

..barabara zilizojengwa wakati wa Kikwete thamani yake ni trillion ngapi?

..kitu kingine Kikwete hakujitangaza sana kama Magufuli matokeo yake hapaswi sifa za kujenga miundombinu.

..kwa upande mwingine Kikwete alikuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi ya pale alipofika.

..SGR ilipaswa kuanza wakati wa JK ila alikuwa na tabia ya uzembe na upigaji.
 
Alifanya mengi ila sio kwenye ujenzi wa strategic infrastructures kama reli, bandari na bwawa la umeme. Mi sikuzote nawaza kama Magufuli angekuwa na access ya matrillion anayopewa mama kila kona ya dunia nadhani bongo ndani ya miaka 20 ingekuwa kama Dubai. Angalia wanaopewa hayo mahela sasa nini wanafanya zaidi ya kugawana hovyo hovyo na wizi na kubadilisha magari ya kifahari. Kila mtu anapambana adokoe fungu katika eneo lake.

We imagine JPM katengeneza vitu vingapi kwa wakati mfupi namna hio. Mengine wana CCM waliona kama hatustahili au hayawezekani ila Magufuli alithubutu na yanaonekana leo na yatanufaisha vizazi na vizazi.

Na hio ni sababu hakukuwa na mtu wa kumzinga zinga mbele. It means toka akiwa waziri wa ujenzi alikuwa na vision ya mambo makubwa ila kulikuwa na mtu mbele anamwambia ngoja kwanza tutafanya tu. Miaka nenda rudi subiri subiri haziishi.
Very true maguguli alikuwa na mission na vision ndo maana tukafika
 
..barabara zilizojengwa wakati wa Kikwete thamani yake ni trillion ngapi?

..kitu kingine Kikwete hakujitangaza sana kama Magufuli matokeo yake hapaswi sifa za kujenga miundombinu.

..kwa upande mwingine Kikwete alikuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi ya pale alipofika.

..SGR ilipaswa kuanza wakati wa JK ila alikuwa na tabia ya uzembe na upigaji.
Kikwete amejenga barabara kibao kipindi chake sema kipindi chake hakuwa mtu wa kuchukua sifa za kila kitu ndio maana magufuli naye alipata sifa za kujenga barabara kama waziri kwa sababu kikwete hakuwa mtu wa kubeba credit za mawaziri.
 
Watu ukiwauliza shule za Kata wanasema ni Lowasa huyo teh teh teh

Hivyo ndivyo jinsi JK anavyochukiwa
Yote kwa sababu ya chuki tu,waziri mkuu hana ubavu wa kuamua kitu bali Rais ndiye mwenye mamlaka hata barabara utasikia Magufuli lakini wakati wa Magufuli kila kitu alikuwa akisifiwa Rais husikii PM wala waziri wa ujenzi.
 
Back
Top Bottom