Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

kumbe yote hayo hayakufanmyika? Sasa walipataje thamani ya mradi? Na waliwezaje kutengeneza mpango kazi?

Katika maandiko yangu ulisoma kuna mahala kuwa "feasibility study" aka tathmini ya mradi kuwa haijafanyika? unaelewa unachokisoma au ndio unadandia treni kwa mbele!
 
Salary Slip,

..wakati Raisi Kikwete anatangaza "nia" ya kujenga reli, Raisi Uhuru Kenyatta atakuwa na ground breaking ceremony ya ujenzi wa reli toka Mombasa kuelekea Uganda na Rwanda kesho.

cc Koba, Ritz, Mchambuzi, Kubwajinga
Nami nakuwa na wasiwasi na tamko la JK maana kuna mipango mingi ya reli imekuwa ikiendelea lakini huu umekuja ghafla mno. Isije ikawa alivyosikia majirani zetu wanaanza utekelezaji kaamua kutufariji japo na maneno tu.
Je, ametoa action plan na time frame?
 
...alafu tatizo utasikia viongozi wetu wanaongelea kujenga reli kuiunganisha Burundi na Congo DRC huku wenzetu wanajenga ili ziwasaidie wenyewe kwanza. Tuna kasoro kubwa na tusipoangalia tutaendelea kuadhirika.
 
Salary Slip,

..wakati Raisi Kikwete anatangaza "nia" ya kujenga reli, Raisi Uhuru Kenyatta atakuwa na ground breaking ceremony ya ujenzi wa reli toka Mombasa kuelekea Uganda na Rwanda kesho.

cc Koba, Ritz, Mchambuzi, Kubwajinga

Anatakiwa aseme lini Wakenya watuzidi kwa kuthubutu mfano walikopa pesa na wameshaanza kujenga Barabara na reli kwenda South Sudan sisi tunaendelea kuimba na ahadi leo hii ilitakiwa east Congo tumeshaiunganisha kwa reli, Nawashangaa sana wafanyabiashara wa Tanzania kutokuliangalia soko la Rwanda, Burundi na East DRC, wanasubiri serikali, badala ya kutoa proposal zao mi sidhani kama Serikali ya Kenya ndo inayafanya yote hayo lazima kutakuwa na mkono wa wafanyabiashara wa Kenya. Watz tumezoea tenda zije tuibe, ndo maana mtu anataka apewe kitalu cha utafiti wa petroleum ili hali hata kampuni la ujenzi hana ie hajawahi kupata chellengi za kisayansi na kiufundi.
 
Yupo mchangiaji thread amehisi hivo hivo na kuliita tamko la JK bonge la pre emptive strike.
 
kama hii ahadi ya rais itatekelezwa basi itakuwa na manufaa makubwa kwa kigoma,tabora na mikoa mingine kwa ujumla.
reli ya kati hutumiwa sana na wananchi hasa wenye kipato kidogo na mizigo mingi sana husafirishwa kwa sababu ya gharama zake za usafiri kuwa ndogo.
upanuzi wa reli hii utahitaji treni mpya na za kisasa na ni mategemeo yangu huduma zutakuwa nzuri.
Hakika ni faraja kubwa kwa watumiaji wa reli ya kati ila tusubiri tuone utekelezaji wake.
 
ingekuwa kauli ya Magufuli ningeamini, lakini huyu aaahh wapi, blah blah tupu
 
Faiza link uliyoiweka haina mwanga wa kiufundi wala technical conclution ni kama maoni ya mhariri tu.
Kabla sijaifungua nilidhani ndani yake ina upembuzi yakinifu wa miradi ya reli kwa jinsi ulivyo insist.

Una matatizo ya kuelewa Kiingereza?

Hiki ni nini, haya ni maoni ya Mhariri?

according to Canadian consultancy firm, Canarail The Dar es Salaam- Isaka-Kigali/Keza-Gitega-Musongoti railway project, which is set to cost US$5.2bn and will take four years to complete, is expected to lower Rwanda and Burundi’s transport costs.
“It will be to up the governments to solicit funds for the construction to commence,” said Donald Gillstrom, senior vice president and chief engineer at Canarail, during the presentation of a feasibility study.

Au ulitaka "presentation" nzima ya "feasibility study" iwekwe?

Soma hapa uelewe Canarail wamefanya nini: Tanzania 09-064 - Canarail

CANARAIL is responsible for the following activities:

  • Review of existing technical reports completed by BNSF and CPCS;
  • Develop technical specifications for various gauge alternatives for the upgrade of an existing railway and construction of two new railways;
  • Review and refine DBI design of two new railways (to Rwanda and Burundi) to minimize earthworks volumes;
  • Develop Capital cost estimate (CAPEX) and operating cost estimate (OPEX);
  • Environmental and Social Impact Analysis;
  • Economic and financial analyses for both freight and passenger traffic on existing line (Tanzania) and future lines (Rwanda and Burundi);
  • Institutional analysis.
- See more at: Tanzania 09-064 - Canarail

Why not..!!?? BRT, daraja la Kigamboni yote watu waliapa kuwa haiwezekani, yote imeshaanza. Flyover ya TAZARA na Terminal 3 ya JNIA same criticism, nazo ujenzi kuanza soon. Stop being negative...
 
Mkuu Ritz unasema with confidence kuwa ujenzi wa Reli utaanza wakati wo wote kuanzia sasa.

Umeshafanyika upembuzi yakinifu kubainisha hiyo reli itajengwa kwenye tuta la zamani au itapitishwa kwenye njia mpya?

Wasi wasi wangu ni kuwa,kama itapita kwenye tuta la hii reli ya sasa itabidi tukae bila huduma za treni wakati wote wa ujenzi!
 
Kitu kizuri ni kwamba..BADO TUNAKOPESHEKA..kama kauli za wakubwa wanavyosema..haaa haaa Tanzania bhana daa. Sawa wakubwa ssawa kila lkitu kitakuwa swwafi pale tu mtakapotupa tena miaka 5 mingine. Kwa kopo sijui kama tataweza na kwa maliasili zetu ni hiyogesi tu ndio tumaini madini mmh..wanyama ndio hao nao wanakufa!! Aisee lakini tunahoja na hamu ya maendeleo..reli ya kati mbaka kigoma pia mmh reli ya ya Tanga. Aisee sawa!!!
 
Leo tarehe 28:11:2013 ujenzi wa reli mpya kati ya MOMBASA, SOUTH SUDAN
, KAMPALA HADI KIGALI unazinduliwa rasmi.

Tanzani bado top leader anaendeleza promises kama ilivyo kawaida yake na chama chake cha CCM.

Correction; Leo Kenyatta anazindua ujenzi wa reli mpya kutoka Mombasa mpaka Malaba.
 
Kuna wakati uki comment huwa najiuliza wewe ni mbaba au mmama?Hongera. Unajitahidi kufafanua mambo mbalimbali.
 
Upembuzi yakinifu reli ya mtwara-mbamba bay utaisha lini?
 
Last edited by a moderator:

Tatizo watu mpo busy sana na siasa hata hamjui mengineyo yanayoendelea, nani kakwambia mradi huu umekuja ghafla mno? Wakati mpaka gharama za mradi zipo?

Tanzania: Tanzania Railway Plans International Gauge - allAfrica.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…