Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilani nzim YOTE magufuli mmemtoa hakuna anapohusika katika utejelezaji na uanzishaji wa Miradi, yote iliyobaki ni yenu tuunafahamu ilani ya chama cha mapinduzi huwa ni ipi na inafanya kazi gani?
Na ndio maana Magufuli alimwambia anawashwa washwa!Niweke hapa hiyo Ilani aliyoandika kikwete ikaja fanywa na Magufuli. Kikwete anajitutumua tu.
huyu mzee anatakiwa ayajue haya maandiko:Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Zama zao elimu ilikuwa privilege ya watu wachache.
Kwenye kichwa chake anadhani mpaka leo watanzania hatujui hatua za miradi.
Eti mpaka naondoka niliacha vifusi sijui wapi (bila ya kuwa na mkandarasi) ulie sign nae PID.
Hakuna ubaya kusema aliacha wazo la mradi kwa JPM, na lilikuwa kwenye ilani ya CCM waliyomkabidhi Magufuli.
Lakini kusema mradi ulianza kwakwe ni kielelezo cha kudhani akili zetu kama jamii ni sawa na kipindi hiko anapata shahada.
It’s just nonsense, hawezi kuwa na input kwenye huo mradi kama mpaka anaondoka PID aijasainiwa.
Ni hadithi zilizo kwenye kichwa chake tu
Simple hakukuwa na hela ya kujenga mradi...kuna Jiwe la msingi la SGR liliwekwa na Waziri wa Miundombinu Samuel Sitta na wakandarasi wa mradi walitoka China.
..Sasa nini kilitokea toka wakati huo mpaka wakaja wakandarasi wa Kituruki na Kireno, na baadae tukabakia na wakandarasi wa Kituruki mpaka sasa hivi?
Unamfahamu Daudi Mwangosi na Dr Ulimboka?au unapajua Katavi!!Waandishi wa Tanzania ni hovyo ilipaswa wamuulize ulipewa miaka kumi ulishindwa nini kutekeleza???
🤣🤣🤣Unaweza kuta hata baba yako alizungumza na Bakhresa waanzishe makampuni. Bakhresa akaanzisha wewe na baba yako mnapita mitaani kusema viwanda vya Bakhressa mlimshauri na kumpa ramani. Sijui kama umenielewa.
Hakuwa kuwa na akiliMbona na wewe hutaki aongee ukweli wake, especially kama kuna mazingira yanayolazimisha kutoa huo ufafanuzi?
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Anajishukia anaona hapewi heshima. Anadharaulika na watu wenye akili hawamzungumzii kabisa.Hata mimi sijui ana matatizo gani; nadhani sehemu kubwa ni kujaribu kuonyeshakuwa Magufuri hakufanya lolote.
Watu husifiwa kwa mambo waliyotekeleza, sio waliyopanga au kuacha katika makaratasi, Elon Musk anajulikana kama yeye ndio kila kitu Tesla wakati alinunua kampuni kutoka kwa watu waliokuwa wanambwelambwela kibiashara, hakuna mtu anayekumbuka tena hata majina tu ya hao ambao kampuni ilichukuliwa kutoka mikononi mwao.Kwani yeye JPM hakukuta kazi zilizoanzishwa na JK? Haya mambo yote yako kwenye vision 2025 iliyoandikwa na BW Mkapa mwaka 2000. Na humo ndiyo CCM wanapoandika Ilani ya uchaguzi wanasoma na kuweka mambo watakayotekeleza. Projects zote ukiacha uwanja wa ndege wa Chato, daraja la Busisi na Bwawa la umeme la Nyerere vimo kwenye hiyo document. Alianza ku-implement Mkapa mwenyewe, akafuata JK na Magufuli naye akafanya ya kwake. Na sasa Samia anamailizia viporo na kufanya mengine.
Halafu kwa kuwa vision 2025 ndiyo inamalizika mwaka kesho, tayari timu ya vision 2050 chini ya Waziri Kitila Mkumbo imeanza kukusanya maoni na inaandika hiyo vision ambayo ndiyo itatuongoza hadi mwaka 2050
JNHPP imechukuwa karibu arubaini, sembuse kumi plus!Mchakato mchakato mchakoto....miaka 20
mbona Stiegler's Gorge imechukuwa zaidi ya miaka 40?Mambo ya kusadikika haya
Eti pengine mchakato ulianza miaka mingi, mchakato upi huo wa kuchukua miaka zaidi ya 20?
JPM ni miaka 5 tu kafanya kazi utadhani kakaa madarakani miaka 10
Na huyo JK angeijengaje hiyo SGR na huo ufisadi mkubwa kwenye uongozi wake?
mzee kafeli sana kwenye hilo, hakuna legacy yake iliyobaki hata moja, zaidi sana nakumbuka tu maneno kwamba ukitaka kula ukubali kuliwa. jiwe alipokuja ndio maana aliamua kuvuruga kila kitu chake kwasababu havikuwa na maana yeyote. nyerere aliona mbali sana juu yake kweli alikuwa hatoshi.Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.
Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.
Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.
Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
Siyo kula tunda kimasikhara?Kwa hiyo Jk anasema mama hajafanyaa kituuu🤣🤣🤣 mbona mwanae anakulaa mashavuu shida iko wapi??
Namkumbuka Thadei ole Mushi Yesu amlipizie kisasi.Ukifika jioni unakua unaongea sana
Jioni jioni