Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Kuna vichwa vya treni vilikutwa bandarini vimeandikwa TRC lakini mwenyewe alitafutwa hakujitokeza mpaka sasa ndio hiyo SGR
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
huyu mzee anatakiwa ayajue haya maandiko:

“Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.

— Mithali 17:28 (Biblia Takatifu)
 
Zama zao elimu ilikuwa privilege ya watu wachache.

Kwenye kichwa chake anadhani mpaka leo watanzania hatujui hatua za miradi.

Eti mpaka naondoka niliacha vifusi sijui wapi (bila ya kuwa na mkandarasi) ulie sign nae PID.

Hakuna ubaya kusema aliacha wazo la mradi kwa JPM, na lilikuwa kwenye ilani ya CCM waliyomkabidhi Magufuli.

Lakini kusema mradi ulianza kwakwe ni kielelezo cha kudhani akili zetu kama jamii ni sawa na kipindi hiko anapata shahada.

It’s just nonsense, hawezi kuwa na input kwenye huo mradi kama mpaka anaondoka PID aijasainiwa.

Ni hadithi zilizo kwenye kichwa chake tu

..kuna Jiwe la msingi la SGR liliwekwa na Waziri wa Miundombinu Samuel Sitta na wakandarasi wa mradi walitoka China.

..Sasa nini kilitokea toka wakati huo mpaka wakaja wakandarasi wa Kituruki na Kireno, na baadae tukabakia na wakandarasi wa Kituruki mpaka sasa hivi?
 
Simple hakukuwa na hela ya kujenga mradi.

Mpaka mkandarasi anaingia site kuna processes. Kuona tu mkandarasi wakati hakuna kilichofanyika ni sinema tu.

Ideas za SGR zinaweza kuwa zimetoka mbali, lakini mradi umeanza kutekelezwa na Magufuli na Samia anauendeleza; hao ndio watu wakuchukua credit ya mradi.
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?

Hata mimi sijui ana matatizo gani; nadhani sehemu kubwa ni kujaribu kuonyeshakuwa Magufuri hakufanya lolote.
 
Kwani yeye JPM hakukuta kazi zilizoanzishwa na JK? Haya mambo yote yako kwenye vision 2025 iliyoandikwa na BW Mkapa mwaka 2000. Na humo ndiyo CCM wanapoandika Ilani ya uchaguzi wanasoma na kuweka mambo watakayotekeleza. Projects zote ukiacha uwanja wa ndege wa Chato, daraja la Busisi na Bwawa la umeme la Nyerere vimo kwenye hiyo document. Alianza ku-implement Mkapa mwenyewe, akafuata JK na Magufuli naye akafanya ya kwake. Na sasa Samia anamailizia viporo na kufanya mengine.

Halafu kwa kuwa vision 2025 ndiyo inamalizika mwaka kesho, tayari timu ya vision 2050 chini ya Waziri Kitila Mkumbo imeanza kukusanya maoni na inaandika hiyo vision ambayo ndiyo itatuongoza hadi mwaka 2050
Watu husifiwa kwa mambo waliyotekeleza, sio waliyopanga au kuacha katika makaratasi, Elon Musk anajulikana kama yeye ndio kila kitu Tesla wakati alinunua kampuni kutoka kwa watu waliokuwa wanambwelambwela kibiashara, hakuna mtu anayekumbuka tena hata majina tu ya hao ambao kampuni ilichukuliwa kutoka mikononi mwao.
 
Mambo ya kusadikika haya

Eti pengine mchakato ulianza miaka mingi, mchakato upi huo wa kuchukua miaka zaidi ya 20?

JPM ni miaka 5 tu kafanya kazi utadhani kakaa madarakani miaka 10

Na huyo JK angeijengaje hiyo SGR na huo ufisadi mkubwa kwenye uongozi wake?
mbona Stiegler's Gorge imechukuwa zaidi ya miaka 40?
 
Kila project kubwa atakuambia ana mchango. Alitoa maagizo akiwa anaondoka madarakani ifanyike. Alianza na uhamisho wa Makao Makuu Dodoma. Akasema ana mkono wake. Wakati tunajua mikono yake ilikuwa kwenye projects nyingi za kifisadi.

Hii SGR anakuambia ilianzishwa na Mkapa yeye sijui akafanya nini then akamwambia Magufuli ajenge. Yaani hata hajielewi.

Kwanini asinyamaze aonekane ana busara? Kwani ni lazima naye aongee aongee? Au umri nao ni tatizo? Amwache Samia afanye kazi bila naye kujichomekq chomeka.

Kwa nini asinyamaze? Au yeye hapendi kuonekana ana busara?
mzee kafeli sana kwenye hilo, hakuna legacy yake iliyobaki hata moja, zaidi sana nakumbuka tu maneno kwamba ukitaka kula ukubali kuliwa. jiwe alipokuja ndio maana aliamua kuvuruga kila kitu chake kwasababu havikuwa na maana yeyote. nyerere aliona mbali sana juu yake kweli alikuwa hatoshi.
 
Back
Top Bottom