Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Kutia nia yeyote tu anaweza,credits kwa waiothubutu kufanya

Kutaka recognition kisa ulitia nia kwa miaka kumi madarakani ni ukichaa
 
Hii mifano haina uhalisia.

Kwenye SGR, sifa anastahili JPM, ila huwezi msifia kwa kuwaponda watangulizi wake sababu hajafanya aliyoyafanya from nothing kama MUNGU alivyoiumba dunia. Yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya watendaji wa maraisi waliopita.

SGR kabla ya ujengwaji wake kuna mambo mengi yanatangulia yasiyoonekana huku nje, na ni mambo ya muhimu ikiwemo ipite wapi na kwanini, bajeti n.k Haya mambo JPM ameyarithi kwa JK kisha akayasimamia vizuri mpaka tunayaona leo yakitunufaisha.

Hizi ibada uchwara ni kujidhalilisha tu.
Acha porojo hizo,tulioko site tumeona mradi ukianza sifuri from wapi ipite etc
 
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.

Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.


View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u

CHANZO: ITV

MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!

Alishindwa nini kutekeleza chekachecka wa Lugoba?
 
Back
Top Bottom