Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haWatoto wa marehemu hawataki kabisa kuuona huu uzi
Tatizo siyo demokrasia, Nyerere hakuwa mwanademokrasia kivile..Magufuli angekuwa na sifa kubwa zaidi kama angekuwa mwana-demokrasia.
Acha porojo hizo,tulioko site tumeona mradi ukianza sifuri from wapi ipite etcHii mifano haina uhalisia.
Kwenye SGR, sifa anastahili JPM, ila huwezi msifia kwa kuwaponda watangulizi wake sababu hajafanya aliyoyafanya from nothing kama MUNGU alivyoiumba dunia. Yeye mwenyewe alikuwa sehemu ya watendaji wa maraisi waliopita.
SGR kabla ya ujengwaji wake kuna mambo mengi yanatangulia yasiyoonekana huku nje, na ni mambo ya muhimu ikiwemo ipite wapi na kwanini, bajeti n.k Haya mambo JPM ameyarithi kwa JK kisha akayasimamia vizuri mpaka tunayaona leo yakitunufaisha.
Hizi ibada uchwara ni kujidhalilisha tu.
Ok mkuu.Acha porojo hizo,tulioko site tumeona mradi ukianza sifuri from wapi ipite etc
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.
Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na mikoa ya jirani.
View: https://youtu.be/CAe_1eN8VAM?si=V_nFyEigpZq3r2_u
CHANZO: ITV
MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
Alishindwa nini kutekeleza chekachecka wa Lugoba?
Mr. Ankara ya Mshahara una lolote la kusema kuhusu hili?MY TAKE:
Hivi hizi ahadi zinatekelezeka kweli??!!
MUNGU tu ndo anavyote vizuri...Magufuli angekuwa na sifa kubwa zaidi kama angekuwa mwana-demokrasia.