Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!



saa zingine una depress sana watu na mambo unayoyasema

ni ukweli ambao hakuna ambaye anayetaka kuusema

we are living in interesting times...each to his own
 
basically credibility ya waziri Membe iko on the line and this will go into record
 
Unayo hiyo paper ya Economic diplomacy yetu?

Lete tuisome kisha tujue sirikali yetu ina mipango gani

You never know Marmo inawezekana ni fluent in Chinese
 
Ubalozi una maana kwa nchi zenye makoloni na ubepari uliobobea, wanawatumia kulinda interests zao, na siyo sisi ambao ndo makoloni yenyewe...

Una maana kwa kuwa ni kodi zetu zinawapeleka huko kuwa mabalozi.
 
Mkuu tunaomba utufafanulie zaidi huyo OR ni nani?
 
sahau kama mabalozi wetu watakuwa kama hawa....tatizo nyie you are looking into these things too much

JK alisema sasa ni zamu ya vijana

Membe naye alisema the same thing

lakini ukweli nadhani mmeuona
 
Huwezi kumpeleka Old Guard kwenye Super Growing Economy huyu alitakiwa aende Zimbabwe I mean China wewe kaangalie web ya US State Dept uone CV za watu wao China. Au labda ana ugonjwa unatakiwa kutibiwa China otherwise huyu alitakiwa Zimbabwe sio China.
 
sasa hao vijana unao wataka wewe wako wapi?
 
Kwani mchagua mabalozi ni Membe au Rais?
 
Kalaghe anaonekana kijana kiasi au?
 
mhhh hawaogopi kutekwa?
 
saa zingine una depress sana watu na mambo unayoyasema

ni ukweli ambao hakuna ambaye anayetaka kuusema

we are living in interesting times...each to his own
ukweli usemwe hata kama unauma
unless you are buying the nonsense kuwa vijana ni taifa la kesho
 
Mkuu ndo maana nikasema balozi ana maana zaidi kwa mataifa yenye makoloni, ama superpowers wenye interests kwenye makoloni yao, hata mabalozi wengine ie nchi za kiarabu unakuta ni wamarekani wenye asili za huko wanakopelekwa, mafano yule wa Iraki, China nk, na hiyo si kwa bahati mbaya.

Kwa mataifa ya kibepari mabalozi wana maana zaidi kuliko sisi watembeza bakuli.

Angalia tu rais tuliyenaye kabla hujaanza kusema kuhusu balozi mkuu...

Sisi balozi kwetu ni kama celebratory tu, kwasababu sioni uhusiano wowote kati uchumi wa China na ulazima wa balozi wetu kuwa mchumi...

How is that really going to help us?
 

I doubt kama kuna diplomat wa Tanzania kashawahi kutia mguu Guanzhou unless kaenda kununua fenicha na vifaa vyake vya ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…