George Smiley
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 471
- 266
Halafu ukikutana na hawa wazee hawaishi kulalamika ohhh kwa nini hamtaki kazi serikali etc
as if hatujaona yaiyowakuta wazee wetu ambao walikuwa loyal to the grave
I always thought wanazo consulates in LA, ATL, HOUSTON
Kaka sisi tunazo options...jaribu kuwafikiria vijana ambao wako mwaka wa 2 pale chuo cha diplomasia ambao wana ambitions za kulitumikia taifa lao kama wakipata change of guard
wafikirie waliokaa pale kwenye benchi foreign for all these years ambao ideas zao hazifanyiwi kazi zaidi ya kuwa printed na kutupwa kwenye makabrasha
wafkirie mabalozi ambao hawaelewani na waziri wao ambaye hapokei hata simu zao kiasi cha wengine kukataa hata hizo kazi yenyewe
Inshort kuna systematic demoralization kwenye kila sekta na wanaofaidi na ma per diem ndio hao hao kila kukicha
I will take this up straight to Membe na nitamwambia mheshimiwa waziri kuwa wao wenyewe ndio wanaorudisha nyuma taifa
then wanalalamika ohhh you guys are bussy to criticize on sidelines...lakini hakuna mtu aliyefkria kukutanisha vichwa vya humu na kuwa kitu kimoja on issues ambazo watu wanakubaliana
Ikulu nako ndio usiskie....siege mentality kila sehem
and you think we had it all bad....
saa zingine una depress sana watu na mambo unayoyasema
ni ukweli ambao hakuna ambaye anayetaka kuusema
we are living in interesting times...each to his own