bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Hapa ndipo magamba huwa wananiacha hoi. Mtu anakataliwa kuwakilisha jimbo yaani anashindwa kwenye uchaguzi kisha anateuliwa kuwakilisha nchi. Shame on magamba
Ama kweli JK ni bonge la kilaza! Yaani watu ambao wameshindwa kukubalika na watu wao je nje watakubalika? Je watejenga mahusiano bora au watajenga mianya ya rushwa kwenye balozi zetu?
Kwa CCM huwa hakuna makapi, pamba ikichambuliwa mbegu zinakamuliwa mafuta mashudu yanakuwa chakula cha ng'ombe, ng'ombe akinya mavi yanakuwa mbolea and recycle goes on...
- Ndio maana tunasema tunahitaji katiba mpya makini maana tukiweza kuwa nayo hawa walioteuliwa wangetakiwa kupitia kamati ya Bunge kupitishwa, Wallahi tena wanaofaa hapo ni wawili tu, Mujuma na Shamin, wengine wote ni makatibu kata tu, I mean bongo bwana yaani bora liende tu!
- People the Word here ni Katiba Mpya!
William @..NYC,USA:
Wacha kukurupuka ipo humu thread yenye orodha ya wateule wote wa nafasi za Ubalozi.Jk ameteua mabalozi wapya,ninayekumbuka vizuri ni philip marmo,anakwenda china. Mwenye habari nzima atumwagie. Source, tbc.
Habari gani tena wakumwagie wakati mwenyewe umesema anakwenda china au unataka wakuambie anakwenda na mabegi matano ya nguo.Jk ameteua mabalozi wapya,ninayekumbuka vizuri ni philip marmo,anakwenda china. Mwenye habari nzima atumwagie. Source, tbc.
Mods haya si matusi kwa mkuu wa nchi?
Omar Mapuri kapelekwa wapi?