Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My point ni kwamba, hao mnaowaona ni makapi..ni wazuri hata kuliko Slaa aliyekuwa kapi hapo awali..na ukiangalia hiyo list ina phd holderz wa ukweli siyo phd za masuala ya dini!
Mabalozi wapya wameteuliwa na Rais kikwete na wanaanza kazi 12 Oct 2011. Walioteuliwa ni:
1. Batilda Burian....Kenya
2. Ali Salehe........Falme za Kiarabu
3. Ladislaus Komba.....
4. Philpo Marmo......China
5. Dr Kamala..........Belgium
Wengine majina yao sijayapata vizuri...
Source: TBC1
kiukweli hata mimi nimeshangazwa sana,kwani tunapeana vyeo kwa kuangaliana usoni na wala sio uwezo wa mtu husika? hivi kweli Marmo ataweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka pale? nadhani hawajamaa wanakuja china kibiashara zaidi na sio kulisaidia Taifa hii inashangaza sana
ok,ngoja tusubiri tuone
Mbona Lawrence Kego Masha sijamuona kwenye orodha?
Just a figure.... they have attachees, and the first secretary is the one that matters.Mnyonge mnyongeni ila Balozi wa China I dont get it!