Rais Kikwete awashauri wasanii kuwekeza ili wazeeke wakiwa na mali

Rais Kikwete awashauri wasanii kuwekeza ili wazeeke wakiwa na mali

Nitafute tu Mkuu utanipata na nadhani Unanijua vyema kabisa.
images (4).jpeg.jpg
 
Mbona unatumia Nguvu kubwa sana ya Kutufahamisha kuwa hata hiyo nayo ni ID yako? Wenye Akili tuna ID moja tu JF.
wewe huwezi kuthibitisha, ila mm ninathibitsha hpa kwamba kila unapoona komenti ya dr matola unatetemeka vbaya sana, embu tuambie alikufanya nini hapa chini mpaka ukatoweka siku mbili kimya na kufunga uzi wako?
 

Attachments

  • 8B175EA1-1AF6-4EA0-8597-EE9D322E3756.jpeg
    8B175EA1-1AF6-4EA0-8597-EE9D322E3756.jpeg
    176 KB · Views: 3
Nitafute tu Mkuu utanipata na nadhani Unanijua vyema kabisa.
wewe acha kutishia watu huna kitu unaweza kufanya, usijaribu kupoteza mada kwanini ututie aibu kama taifa tazama huu utumbo ulioandika halafu baada. Ya kujua kwamba waliokuhadithia wamekudanganya ukaingia chaka baada ya kupigwa spana tazama hapo chini👇
 

Attachments

  • 9E0B8AB3-FFAD-4609-8017-51583A9283C9.jpeg
    9E0B8AB3-FFAD-4609-8017-51583A9283C9.jpeg
    176 KB · Views: 3

Attachments

  • F8F23BFE-05A8-467E-911D-7A01F82698BE.jpeg
    F8F23BFE-05A8-467E-911D-7A01F82698BE.jpeg
    176 KB · Views: 3
"Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari na Warembo wao wa kila aina. Hofu yangu Wengi wao kama wasipowekeza sasa huko mbeleni wakija Kuishiwa wataanza kuja Kuuza Magari yao ya Kifahari na Majumba huku wakiyaanza taratibu Maisha mapya ya Kimasikini. Wawaige Wasanii wenzao wakubwa wa huko Ng'ambo ( Ulaya na Marekani ) ambao sasa wamekuwa Wajanja na Wanawekeza mno katika Stock Exchange Market duniani", amesema Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Chanzo: Wasafi Media

Sasa kama Tajiri hadi Kufa Kwake anatushauri hivi Sisi Masikini pate Vihela vyako vya Ngama au vya Kuiba huko Ofisini au vya kula Rushwa halafu Hongea Mademu na fanya Matanuzi yako ya Kishamba kisha huko baadae ukija Kuishiwa / Kufilisika na kuwaona akina GENTAMYCINE na Wenzake wanaojipanga sasa Maisha yao yako kwenye Mstari uanze kusema kuwa Wanauza Unga au Wametoa Kafara au wana Maisha mazuri kwakuwa Wazazi wao tokea enzi na enzi walikuwa katika System ya Nchi hivyo ndiyo maana Wanateleza tu na Maisha hadi Uzeeni.

Najua fika Rais Mstaafu Kikwete huwa Unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums naombe niseme Asante sana.
Wanawekeza kwenye ngono tu 😂 😂 😂 😂 😂
 
Halafu hii spana ni comb😂😂😂 ule uzi ukiuona Dr Matola PhD alikuwa anatoa spana heavy kama hizo akigeuka huku kapigwa akigeuka kule kapigwa akaone isiwe tabu hiki ndo kilochotokea baada ya aibu kubwa kuipata GENTAMYCINE tazama mwenyewe 👇
Mwanaume ukijua Kumkanda Mtu vyema ni lazima tu kila mara utakuwa Kichwani mwake na atapenda Kukutajataja.
 
Mwanaume ukijua Kumkanda Mtu vyema ni lazima tu kila mara utakuwa Kichwani mwake na atapenda Kukutajataja.
Kwa jinsi ulivyokandwa mpaka kufunga uzi na kupotea siku mbili inabidi ukafanyiwe check up huko kunako🤣🤣👇
 

Attachments

  • EF34AAFE-744F-4E93-94F7-96FCCB8B15C6.jpeg
    EF34AAFE-744F-4E93-94F7-96FCCB8B15C6.jpeg
    176 KB · Views: 3
Back
Top Bottom