Rais Kikwete kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

We jamaa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu!
.
 
Hivi hii bandari si ndio ile wataalamu walishauri isijengwe kwani itaendeshwa kwa hasara badala yake ufanyike upanuzi wa bandari ya Kurasini?
Leo unajionaje unavyomtukana Magu ili kushabikia ujengaji wa hiyo bandari?
 
Lengo bandari ni maslai binafsi ya Msoga team

Inamaa ccm ikija kufa hata miaka 100 ijayo bandari itakuwa chini ya wanamsoga na wajukuu zake
 
Mwambe alisema mkataba haukuwa umesainiwa..ina maana hapa kikwete alienda kuweka jiwe la msingi bila mkataba? Nchi hii tumerogwa..tunadanganywa kweupeee kabisa
 
Shekhe Yahya 100%. Kongole kwa utabiri huu.
 
Nchi hii kwa nini ugeugeu huu? Kila kiongozi anakuja na kipaumbele chake.
Si ajabu ukaja kusikia mradi wa JNHP au SGR ikasimama
 
hamnashida tunalipa tulichoahidi kwa wajukuu wa MAO,tutafanyaje Sasa upuuz wa mjinga mmoja kutamani Mali za shortcut a.k.a ngada zinatugharimu wote kwa vizazi kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…