Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.

Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.

Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.
 
1604527123179.png

JPM
 
Nafsi ya mtu na dhuluma, hivi hili kundi linajisikiaje kweli kwa aibu lililoifanya, naamini hawatakuwa na furaha ndani ya mioyo yao
 
Nafsi ya mtu na dhuluma, hivi hili kundi linajisikiaje kweli kwa aibu lililoifanya, naamini hawatakuwa na furaha ndani ya mioyo yao
Nyambizi drone na Ndege zisizo na rubani za America bado zinaendelea kumchungulia akiwa DSM ndiyo maana kaamua kuhamia mazima Dodoma.
 
Kwani uchaguzi ulishafanyika Tanzania?
 
Nafsi ya mtu na dhuluma, hivi hili kundi linajisikiaje kweli kwa aibu lililoifanya, naamini hawatakuwa na furaha ndani ya mioyo yao
CCM wengi wamejaa ushetani hususani ndungai ambaye huenda akawa Spika tena kwa njia zile zile za kishetani, CCM hawamuogopi mungu
 
Back
Top Bottom