Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
Watanzania wamekataa kupandikiziwa Saliti na mabeberu basi! Mbona Lowassa alipewa kura nyingi? Lakini huyu wenu ninaimani hata Mbowe hakjmpa kura yake! Ni aibu, aibu wasirudie tena kutuletea kibaraka.
 
Mi kumbukbu nzuri kuwa Rais wa kwanza kuapishwa Dodoma alikuwa ni tunda la uovu. Alipatikana kwa uchaguzi bandia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuchaguliwa na wapiga kura bali kasimwikwa kishetani na wakurugenziccm, NECCCM Tumeccm na Polisiccm na vyombo vingine vya dola , ni kama mapinduzi ya kijeshi, hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kufanya vioja maigizo kuuhadaa ulimwengu
 
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.

Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.

Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.

Hili litasaidiaje Maendeleo ya Mwananchi mmoja mmoja?
 
Hongera JPM, nina imani wasaidizi wamehakiki hotuba yake ili awe Baba na tumaini la wote.Pia ataongea kujutia mapungufu maafa Watz wenzetu waliopata masibu.

Kitu nachompendea Magufuli habagui kwenye mateso, wote tunaonja joto ya jiwe!
 
WaTanzania wamekataa kupandikiziwa Saliti na mabeberu basi! Mbona Lowassa alipewa kura nyingi? Lakini huyu wenu ninaimani hata Mbowe hakjmpa kura yake! Ni aibu, aibu wasirudie tena kutuletea kibaraka.
Watanzania wa wapi unawasemea? Labda watanzania unaoshinda nao ukivuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba, kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kupiga Trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Kununua Ndege kifisadi kupiga 10% cash ? Wapi mikataba mipya ya madini?

CCM mkienda ulaya kuomba omba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu dhuluma uonevu mateso ya CCM kwa wapinzani hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.
 
Kitu nachompendea Magufuli habagui kwenye mateso, wote tunaonja joto ya niwe!
Polepole aliimgia CCM akiwa masikini lakini sasa ni tajiri kuliko Bashite makonda ambaye ni tajiri kupitia fursa za uonevu wa mtukufu
 
Hili litasaidiaje Maendeleo ya Mwananchi mmoja mmoja?
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za walipa kodi, pesa za viwanda na pesa za maendeleo kwa ujumla zinatumika kudidimiza demokrasia kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja kienyeji kwa njia haramu za kishetani, hawataki maendeleo kabsa wapo radhi Nchi ikose maendeleo lakini CCM iendelee kuifirisi Nchi bila huruma
 
Mda huu kama siyo CCM Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko zote Duniani kutokana na kuwa na kila kitu muhimu cha kuinua Uchumi, lakini hawataki maendeleo kabsa mda wote wanawaza kuihujumu kuidhoofisha chadema na kuvufadhili vyama Dhaifu kama vya shibuda, Lipumba, Mbatia, Cheyo, Mrema kuwa ni matawi ya CCM na kutumika kama upinzani kuuhadaa ulimwengu kuwa Tanzania kuna demokrasia wakati hali ni mbaya mno.
 
Mwenyezimungu ndie pekee anaejua ya mbele yetu (ghaib) na usijaribu kujipa hilo jukumu, ni kufuru mbele ya Muumba wako,

Usikaribishe dhambi ambazo unaweza kuziepula just tu kupata likes or self pleasure ya muda mfupi
Na ndio rais wa kwanza hata maliza miaka 10 katika utawala wake.
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.

Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.

Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.
Kuapishwa Dodoma kunasaidiaje kuondoa dhulma
 
Hawa watu wanafurahisha sana.
Na kupitia uchaguzi huu huenda watanzania wengi wakawa wapagani au watoro kwenye nyumba za ibada kutokana na kupungukiwa imani kwa viongozi wa Dini Tanzania
 
Back
Top Bottom