minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kwa uandishi huu nakuhisi kama wewe ni Le mutuz kwani Le mutuz huwa na uandishi fulani hivi wa kijinga jingaNaona Chademabeberu wanachonga mno hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uandishi huu nakuhisi kama wewe ni Le mutuz kwani Le mutuz huwa na uandishi fulani hivi wa kijinga jingaNaona Chademabeberu wanachonga mno hahahaha
Wewe ni mnufaika wa uzushi ndiyo maana umeshindwa kuonesha ushahidi wa tuhuma bandia.Wewe ni mnufaika wa Trilion 1.5 ndiyo maana umejitoa fahamu kutetea huo ufisadi
Rais keshaapishwa, Uchaguzi umekwisha ni muda wa kuchapa kazi, maendeleo hayana vyama 😂😂Laana kubwa ya wapiga kura waliodhulumiwa HAKI zao ipo DSM
NI yeye 2020.Na ndio Rais wa kwanza hatamaliza miaka 10 katika utawala wake. Tusubiri vikwazo.
Hahah, aisee..Na ndio Rais wa kwanza hatamaliza miaka 10 katika utawala wake. Tusubiri vikwazo.
Kwisha habari, bavicha nendeni na lissu akirudi kwao belgium
Ukiommbea vikwazo, vikija ni nani ataumia? Unafikiri Mgufuli ataumia. Utasumia wewe, ndugu zako, mimi, ndugu zangu, na wanyonge wa nchi hii. Hii yote kwa sababu Lissu ameshindwa kura. Huyo Lissu wenu pampja na DJ wa Billinas hawatashika nchi hata siku moja. Tatizo lenu ni kumuona Magufuli tu. Aliyeshinda uchaguzi si Maagufuli, bali CCM. Do not personalize these things, you will end no where. Come tomorrow there will be CCM but Magufuli would have retired.Na ndio Rais wa kwanza hatamaliza miaka 10 katika utawala wake. Tusubiri vikwazo.
. Kwa maneno hayo nakuona kubwa jingaKwa uandishi huu nakuhisi kama wewe ni Le mutuz kwani Le mutuz huwa na uandishi fulani hivi wa kijinga jinga
.hivi wewe unaakili?Eti na wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni? CCM acheni kuwaleta wavuta Bangi kuja kusumbua watu mitandaoni, tafuteni vijana wenye Akili timamu
. Kuanzia wewe na chama chako wote Ni MATAHIRA WOTEWewe mbweha CCM wamekuokota gheto kwa cyprian Musiba ukiwa unavuta Bangi unawezaje kujua aliyejitoa fahamu? Wakati wewe mwenyewe huna fahamu.
.Una sumu ya kupigwa risasi na mtapigwa Sana MATAHIRA NYIEWewe mbweha uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala mbumbumbu juha zuzu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, ndiyo maana ID yako ni ya kishamba kidwanzi lakini hakuna mtu anahangaika nayo watu wapi busy na mada , kama huna Hoja nenda kaendelee kuvuta Bangi hapo gheto kwa Cyprian Musiba kwanza waache CCM wenye Akili wajenge Hoja.
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.
Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.
Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.