Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Basi acheni kukimbilia Urais, anzeni na katiba mpya kwanzaBiden hana NEC, Tume, wakurugenzi, Polisi yeye alikuwa chama cha upinzani, uchaguzi wa America ni tofauti na uchaguzi wa Tanzania kwani uchaguzi wa Tanzania ni Analogia na uchaguzi wa America ni Digital,
Malalamiko ya Trump hayana polisi watu kama ilivyokuwa kwa Zanzibar wala wabunge wa upinzani kukamatwa na Polisi siku ya uchaguzi, hawana malalamiko ya mawakala kutolewa nje kukamatwa kunyanyaswa na polis acha kufananisha manyanyaso ya Polisi na huko America