Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Sisi huko Zimbabwe tunaiona Tanzania kama baba na mama wa uhuru wetu. Nchi nyingi za kusini Me a Tanzania zilikua hapa, Tanzania imekua mwamba wa uzalendo.

Zimbabwe tunamshukuru tunamshukuru rais Magufuli sababu alisema tarehe 25 October kuwa siku ya kupinga vikwazo

Wakati tulipokua na umeme makali sana Tanzania ilitupa msaada wa mahindi, wananchi Tanzania ni wananchi wa Zimbabwe. Wote mnakaribishwa Zimbabwe

Na rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa
 
Uchaguzi umekwisha! Uchaguzi umekwisha!! Uchaguzi umekwisha!!!!! - Rais John Pombe Joseph Magufuli

Asomae na aelewe😁😁😁
 
Je nani anajua kua kila njia kuu ya kuingilua dodoma inayo kambi ya jeshi!
 
Bora ilivyoamuliwa huko,maana Mji wa salama ungeingia balaa ,ni bora wanafikiane huko dodoma.
CCM hamkushinda na ombeni ashinde Trumph ila akishinda Biden CCM mumeumia ,beberu lazima atawapanda magombe.
Mtafanya maombi yote lkn hamna hata ombi litakalojibiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lowasa alishinda uchaguzi 2015 mkampora kama mlivyoupora huu wa sasa, maombolezo yaliyopo CHADEMA ni juu ya udhalimu wa CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na manyanyaso mengi.
Mkuu acha ushabiki wakindezi mmeshinda wapi au unajitoa ufahamu
 
Naona bwana #minyoo anawapelekesha wenzie kiminyoo minyoo.
 
Naona bwana #minyoo anawapelekesha wenzie kiminyoo minyoo
Wewe mbweha uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala mbumbumbu juha zuzu hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, ndiyo maana ID yako ni ya kishamba kidwanzi lakini hakuna mtu anahangaika nayo watu wapi busy na mada , kama huna Hoja nenda kaendelee kuvuta Bangi hapo gheto kwa Cyprian Musiba kwanza waache CCM wenye Akili wajenge Hoja.
 
. Mkuu acha ushabiki wakindezi mmeshinda wapi au unajitoa ufahamu
Wewe mbweha CCM wamekuokota gheto kwa cyprian Musiba ukiwa unavuta Bangi unawezaje kujua aliyejitoa fahamu? Wakati wewe mwenyewe huna fahamu.
 
. Mtafanya maombi yote lkn hamna hata ombi litakalojibiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Eti na wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni? CCM acheni kuwaleta wavuta Bangi kuja kusumbua watu mitandaoni, tafuteni vijana wenye Akili timamu
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
 
minyoo na wenzake wanahitaji ukombozi wa kifikira.
Wewe hapo ulipo umejitoa fahamu zote unaishi kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu kaburu Mkoloni mweusi na polepole unawezaje kujua ukombozi wa kifikira?
 
CAG alistaafu kwa mujibu wa sheria. Trilioni 1.5 ziko well-accounted for. Uwanja wa Chato ni sehemu ya maendeleo kama ule wa Dodoma I Airport ama JNIA na KIA.

Wenye kesi mahakamani ni wale mafisadi, wauzaji wa madawa ya kulevya, na wahujumu uchumi mliozunguka Tanzania nzima mkidai mngeshika dola wakati uleee eti mngeanzisha mahakama za rushwa na uhujumu uchumi.

Au mlikuwa mnawadanganya Watanzania ili tu mpate ridhaa ya kwenda kuchota ruzuku??? Hiyo ndiyo tofauti mojawapo kubwa kati ya mchapakazi, mzalendo JPM na nyie wababaishaji. Maneno mengi, hakuna matendo.
Wewe ni mnufaika wa Trilion 1.5 ndiyo maana umejitoa fahamu kutetea huo ufisadi
 
Back
Top Bottom