Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Marekani wamefanya ufyongo mwingi na kuvurunda sana uchaguzi wao huu, asikwambie mtu. Pole sana. Kila ulichokitaja negative kinasadifu US maradufu. Umefumba macho nini???Baiden hana NECCCM Tumeccm wakurugenziccm Polisiccm yeye alikuwa chama cha upinzani, uchaguzi wa America ni tofauti na uchaguzi wa Tanzania kwani uchaguzi wa Tanzania ni Analogia na uchaguzi wa America ni Digital, malalamiko ya Trump hayana polis kuua watu kama ilivyokuwa kwa Zanzibar wala wabunge wa upinzani kukamatwa na Polisi siku ya uchaguzi, hawana malalamiko ya mawakala kutolewa nje kukamatwa kunyanyaswa na polis acha kufananisha manyanyaso ya Polisiccm na huko America