Uchaguzi 2020 Rais kuapishwa Dodoma kwa mara ya kwanza

Bora ilivyoamuliwa huko,maana Mji wa salama ungeingia balaa ,ni bora wanafikiane huko dodoma.
CCM hamkushinda na ombeni ashinde Trumph ila akishinda Biden CCM mumeumia ,beberu lazima atawapanda magombe.
 
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.

Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.

Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.
Hata akiapishwa Chatto itatusaidia nini?
 
Bora ilivyoamuliwa huko,maana Mji wa salama ungeingia balaa ,ni bora wanafikiane huko dodoma.
CCM hamkushinda na ombeni ashinde Trumph ila akishinda Biden CCM mumeumia ,beberu lazima atawapanda magombe.
😂😂😂 Sasa biden ni ndugu yenu au .? Yani Kuna raia waliumbiwa kujipendekeza tu!
 
Sasa kama unajua kuwa CCM ni wengi, hayo matumaini ya kushinda uchaguzi mlikuwa mnayatoa wapi?
CCM ni wengi lakini siyo wapiga kura kwani watanzania wasio na itikadi hasa watumishi wa umma walionywimwa nyongeza za mishahara kwa mda wa miaka mitano nao ni wengi mno plus CCM wenye vilio moyoni waliodhulumiwa pesa zao BOT, waliobambikiwa kodi na TRA wakapewa kesi za uhujumu uchumi, wapo CCM wengi wanaotaabika moyoni lakini wanashindwa kutoka CCM kwa hofu za kubambikiwa kesi wakafirisiwa mali zao kabsa.
 
😂😂😂 Sasa biden ni ndugu yenu au .? Yani Kuna raia waliumbiwa kujipendekeza tu!
CCM wakienda kuomba omba misaada America huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu unyanyasaji uonevu mateso ya CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.
 
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.

Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.

Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.
Leo vifaru na midege ya kivita inazunguka huko.
Ama ana andika historia mpya ya nchi hii
 
Kibaka wa wizi wa kura nae anaitwa Rais?
Angalau ile tarehe 2 Ubungo & Buguruni viongozi na wakareketwa wenu wote "Mange-hana-amani" kwenda ofisi za Tume kama mlivyodai na kupanga eti mtafanya ikibainika kwamba uchaguzi siyo "free, fair na credible," basi hii kauli yako ingekuwa na nguvu kiasi.
 
CCM wakienda kuomba omba misaada America huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu unyanyasaji uonevu mateso ya CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
Chama cha Demoghasia & Maombolezo wakimkodi Mwasisiemu Lowassa ili awasaidie kutafuta idadi nyingi za kura ili uwepo uwezekano mkubwa wa kupata ruzuku nono, basi wanamsifia na kumsafisha na kumnasibisha; akiwa upande ule mwingine wanasusia, na kumfifisha na kumdhalilisha na kumweka kwenye "LIST OF SHAME."
 
Kaunganeni na trump kulalamikia wizi wa kura.Mlikuwa mnashadadia matamko uchwara kutoka huko,mkiamini kuwa wao ni wakamifu.Haya hayo manung'uniko ya trump ni ya nini katika nchi yenye demokrasia iliyokomaa (kama mnavyodai nyinyi)?
 
Katiba yetu hovyo kabisa, yaani mtu anakuwa hapo hapo Rais, halafu hapo hapo Rais mteule!
 
minyoo na wenzake wanahitaji ukombozi wa kifikira.
 
Katiba yetu hovyo kabisa, yaani mtu anakuwa hapo hapo Rais, halafu hapo hapo Rais mteule!
Wachangiaji wengine hovyo kabisa, yaani mtu anawezaje kupinga hoja hapohapo, halafu akashindwa kuleta wazo mbadala. Huu upingaji wa kila kitu ndiyo umefanya wananchi wamewakataeni kwenye sanduku la kura.
 
Chama cha Demoghasia & Maombolezo wakimkodi Mwasisiemu Lowassa ili awasaidie kutafuta idadi nyingi za kura ili uwepo uwezekano mkubwa wa kupata ruzuku nono, basi wanamsifia na kumsafisha na kumnasibisha; akiwa upande ule mwingine wanasusia, na kumfifisha na kumdhalilisha na kumweka kwenye "LIST OF SHAME."
Lowasa alishinda uchaguzi 2015 mkampora kama mlivyoupora huu wa sasa, maombolezo yaliyopo CHADEMA ni juu ya udhalimu wa CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na manyanyaso mengi.
 
Kaunganeni na trump kulalamikia wizi wa kura.Mlikuwa mnashadadia matamko uchwara kutoka huko,mkiamini kuwa wao ni wakamifu.Haya hayo manung'uniko ya trump ni ya nini katika nchi yenye demokrasia iliyokomaa (kama mnavyodai nyinyi)?
Biden hana NEC, Tume, wakurugenzi, Polisi yeye alikuwa chama cha upinzani, uchaguzi wa America ni tofauti na uchaguzi wa Tanzania kwani uchaguzi wa Tanzania ni Analogia na uchaguzi wa America ni Digital,

Malalamiko ya Trump hayana polisi watu kama ilivyokuwa kwa Zanzibar wala wabunge wa upinzani kukamatwa na Polisi siku ya uchaguzi, hawana malalamiko ya mawakala kutolewa nje kukamatwa kunyanyaswa na polis acha kufananisha manyanyaso ya Polisi na huko America
 
Lowasa alishinda uchaguzi 2015 mkampora kama mlivyoupora huu wa sasa, maombolezo yaliyopo chadema ni juu ya udhalimu wa CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na manyanyaso mengi
"Mheshimiwa Rais Magufuli, hongera sana kwa kazi nzuri uliyoifanya kwa Watanzania. Chapa kazi, endelea hivyohivyo kuwabana wala usirudi nyuma. Mimi nisingeweza kabisa kufanya kama wewe ulivyofanya! Sisiemu hoyee! Sisiemu hoyee! Asanteni sana. Sasa nimerudi nyumbani, najisikia raha sana." ~ Mstaafu Lowassa.
 
Kuchapa kazi ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Unajisikia raha sana kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge siyo? Unasikia raha kutafuna trilion 1.5 kisha kumtoa kafara CAG?
 
Back
Top Bottom