Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Unyumbu peleka ufipaAnaigopa Dar, hata Mange alipoitisha maandamano alijificha Dodoma.
Laana kubwa ya wapiga kura waliodhulumiwa HAKI zao ipo DSMNa ndio rais wa kwanza hata maliza miaka 10 katika utawala wake.
Nyambizi drone na Ndege zisizo na rubani za America bado zinaendelea kumchungulia akiwa DSM ndiyo maana kaamua kuhamia mazima Dodoma.Nafsi ya mtu na dhuluma, hivi hili kundi linajisikiaje kweli kwa aibu lililoifanya, naamini hawatakuwa na furaha ndani ya mioyo yao
Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetaniKibaka wa wizi wa kura nae anaitwa Rais?
Furaha kubwa tuliyo nayo ni wananchi kwa wingi wao, kusema hapana kwa saliti la nchi yetu! Ni furaha itakayo kaa mioyoni mwetu daima.Nafsi ya mtu na dhuluma, hivi hili kundi linajisikiaje kweli kwa aibu lililoifanya, naamini hawatakuwa na furaha ndani ya mioyo yao
CCM wengi wamejaa ushetani hususani ndungai ambaye huenda akawa Spika tena kwa njia zile zile za kishetani, CCM hawamuogopi munguNafsi ya mtu na dhuluma, hivi hili kundi linajisikiaje kweli kwa aibu lililoifanya, naamini hawatakuwa na furaha ndani ya mioyo yao