nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje ya nchi katika nchi moja kwa muda wote alioamua kukaa huko Marekani.
Anyway Mali ya kurithi haina uchungu.