Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hivi leo mbona hatujaletewa uzi wa live coverage ya sherehe hizi kutoka huko Dodoma?
===
Kwa nini sherehe hizi hazijawahusisha wananchi wengi kwa kuifanyia kwenye viwanja vya wazi?
Hizi sherehe za kitaifa zinapuuzwa Sana na wenye mamlaka zama hizi.