nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Siku ya Muungano ina umuhimu gani. Yaani Mkazi wa Kibanchebanche anafaidika nini na haya maadhimisho ya Muungano wa viongozi?Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje ya nchi katika nchi moja kwa muda wote alioamua kukaa huko Marekani.
Anyway Mali ya kurithi haina uchungu.
Huyo mkazi wa kibanchebanche anafaidika nini na uzururaji huko Marekani?Siku ya Muungano ina umuhimu gani. Yaani Mkazi wa Kibanchebanche anafaidika nini na haya maadhimisho ya Muungano wa viongozi?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Na huyu atafutwa mwakani sioJiwe alipofuta mwenge wa uhuru, mwaka uliofuata aliondoshwa madarakani kwa njia ya kifo.
Niko nje ya mada, asanteni kwa kunisikiliza.
Ameamua kupunguza gharama mnapiga kelele,alipo TU kelele juu ya gharama zimeshakiwa nyingi.Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje ya nchi katika nchi moja kwa muda wote alioamua kukaa huko Marekani.
Anyway Mali ya kurithi haina uchungu.
Kupunguza gharama? Unajua msafara alionao kule una watu wangali na unagharimu kiasi gani?Ameamua kupunguza gharama mnapiga kelele,alipo TU kelele juu ya gharama zimeshakiwa nyingi.
Sasa vipi kama ungerudi ,halafu baada ya siku mbili ukarudi kukamilisha kilichowapeleka?Kupunguza gharama? Unajua msafara alionao kule una watu wangali na unagharimu kiasi gani?
Siyo kila jambo ni siasa, tujifunze kutafakari na kukaa kimya,Hivi leo mbona hatujaletewa uzi wa live coverage ya sherehe hizi kutoka huko Dodoma?
===
Kwa nini sherehe hizi hazijawahusisha wananchi wengi kwa kuifanyia kwenye viwanja vya wazi?
Mama yetu Mama Samia 'katufungulia' nchi tupo huru kuhoji na kupewa majibu bila kutishwa, kusutwa, kukejeliwa, kubezwa na kadhalika. Ndiyo maana hata walioandamana kule Marekani na mabango hawakutishwa na Mama yetu. Iweje, Mkuu, uje na sentensi moja, kwangu mimi, yenye muonekano wa kunibeza, kunitisha, kunidhiaki ili nisiendelee kuhoji juu ya mambo yanayoihusu nchi yangu Tanzania?Siyo kila jambo ni siasa, tujifunze kutafakari na kukaa kimya,
Wakati fulani siku kukuu fulani watu walifanya usafi mitaani....! Kelele za kukerwa na jambo hilo zilikuwa nyingi sana.Siku ya Muungano ina umuhimu gani. Yaani Mkazi wa Kibanchebanche anafaidika nini na haya maadhimisho ya Muungano wa viongozi?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
TeheteheKwani Madelu naye anazindua royo tuwa, maana nimesikia lusinde kamuulizia kule mjengoni...
Siku ya Muungano ina umuhimu gani. Yaani Mkazi wa Kibanchebanche anafaidika nini na haya maadhimisho ya Muungano wa viongozi?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Watalii watazuru hapo kazuramimba na kwinginekoNa mkaazi wa Kazulamimba na Ilyamchele mpakani mwa Ibhisabhageni anafaidika nini na Royal Tour
... kama "ulivyotengenezewa" chumbani kati ya Nyerere na Karume bila kuwashirikisha wananchi, ndivyo Samia alivyoamua ufanyike chumbani leo! Kongole Presidee kwa kuuenzi Muungano kwa staili ile ile ulivyoasisiwa!Hivi leo mbona hatujaletewa uzi wa live coverage ya sherehe hizi kutoka huko Dodoma?
===
Kwa nini sherehe hizi hazijawahusisha wananchi wengi kwa kuifanyia kwenye viwanja vya wazi?
Ha ha haaaa! Aisee.... kama "ulivyotengenezewa" chumbani kati ya Nyerere na Karume bila kuwashirikisha wananchi, ndivyo Samia alivyoamua ufanyike chumbani leo! Kongole Presidee kwa kuuenzi Muungano kwa staili ile ile ulivyoasisiwa!
Alitaka kuuondoa mzimu wa kuwafanya misukule wasioweza kufikiria, anayofanya hangaya chadema wanapiga makofi tuu.Jiwe alipofuta mwenge wa uhuru, mwaka uliofuata aliondoshwa madarakani kwa njia ya kifo.
Niko nje ya mada, asanteni kwa kunisikiliza.