Hizi sherehe za kitaifa zinapuuzwa Sana na wenye mamlaka zama hizi.Hivi leo mbona hatujaletewa uzi wa live coverage ya sherehe hizi kutoka huko Dodoma?
===
Kwa nini sherehe hizi hazijawahusisha wananchi wengi kwa kuifanyia kwenye viwanja vya wazi?
Sherehe zenyewe CCM wameamua kujimilikisha. Siyo sherehe ya Watanzania tena ni ya CCM.....!!Hivi leo mbona hatujaletewa uzi wa live coverage ya sherehe hizi kutoka huko Dodoma?
===
Kwa nini sherehe hizi hazijawahusisha wananchi wengi kwa kuifanyia kwenye viwanja vya wazi?
Kuhoji bila kutishwa? Kamuulize Ndugai au yule wazir aliyeitwa nonseseMama yetu Mama Samia 'katufungulia' nchi tupo huru kuhoji na kupewa majibu bila kutishwa, kusutwa, kukejeliwa, kubezwa na kadhalika. Ndiyo maana hata walioandamana kule Marekani na mabango hawakutishwa na Mama yetu. Iweje, Mkuu, uje na sentensi moja, kwangu mimi, yenye muonekano wa kunibeza, kunitisha, kunidhiaki ili nisiendelee kuhoji juu ya mambo yanayoihusu nchi yangu Tanzania?
Kama utakuwa na mood nijibu kama huna nijibu utakavyo nitapokea tu majibu. Ha ha haaaa!
Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje ya nchi katika nchi moja kwa muda wote alioamua kukaa huko Marekani.
Anyway Mali ya kurithi haina uchungu.
Komredi unazipeleka "resi" fikra zako tu 🤣Hiyo 2025 sijui atawaomba kura wamarekani??
Sikutarajia Rais ataipa uzito wa namna hii filamu tu.Komredi unazipeleka "resi" fikra zako tu 🤣
Mh.SSH ni rais wetu na uhai ukiwepo atatuomba kura watanzania wenzake ,aamin🙏
1.Muungano una miaka zaidi ya 50, wacha Rais afanye mambo ya msingi zaidi kwa wakati huuLeo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje ya nchi katika nchi moja kwa muda wote alioamua kukaa huko Marekani.
Anyway Mali ya kurithi haina uchungu.
Watalii wakija atapata fedha za kigeni.H
Huyo mkazi wa kibanchebanche anafaidika nini na uzururaji huko Marekani?
Hivi mwenge unafaida gani mimi hadi sasa ni mtu mzima sijuwi kwakweli.Yani hadi nitazeeka sitajuwa!!.Jiwe alipofuta mwenge wa uhuru, mwaka uliofuata aliondoshwa madarakani kwa njia ya kifo.
Niko nje ya mada, asanteni kwa kunisikiliza.
inabidi tumtafute Nyerere atupe faida za mwenge.Hivi mwenge unafaida gani mimi hadi sasa ni mtu mzima sijuwi kwakweli.Yani hadi nitazeeka sitajuwa!!.
Bila muungano huo Urais asingeupata.Siku ya Muungano ina umuhimu gani. Yaani Mkazi wa Kibanchebanche anafaidika nini na haya maadhimisho ya Muungano wa viongozi?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Hayo ni maoni yako...wengine wanaona sawa..Analilofanya lina faida pia kwa nchi..Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje ya nchi katika nchi moja kwa muda wote alioamua kukaa huko Marekani.
Anyway Mali ya kurithi haina uchungu.
Jirani......angeokelewa bara jirani..Bila muungano huo Urais asingeupata.
Angekuwa kwao Zanzibar.