Tetesi: Rais kujichimbia Arusha neema ya Sukari inakuja . . .

Tetesi: Rais kujichimbia Arusha neema ya Sukari inakuja . . .

Mkuuu tunapaswa tutoe na sie njia m badala kifanyike nini ili kuepuka hili.

Cha ajabu watanzania tumekosa maana halisi ya utanzania
Tupunguze ushabiki tuipende nchi ilikokua imefikia nikubaya sanaaa
njia m'badala ni kuwa na viwanda vingi vya uzalishaji wa sukari kukidhi mahitaji alafu baada ya hapo ndiyo Pombe apige marufuku sukari kuingizwa kutoa nje.
Story za Tanzania ya Viwanda zimeishia wapi?
 
Back
Top Bottom