Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ya kweli hayo joka la mdimu.Atakuwa Lowasa tu huyo alieficha sukari
Hahaha . . .Atakuwa Lowasa tu huyo alieficha sukari
Miboya ya lumumba ina matatizo kweliSasa kazi ya kuwatafuta wahalifu physically ni kazi ya nani?
Pole sana, mbinu za kizamani hizo. Lakini labda zitakusaidia kupata U DC kuziba nafasi ya ambao hawakukamata sukariKuwa makini na kauli zako mkuu, hauko salama hata kidogo . . .
Atakuwa tayari kukubali hukumu?Unajua kuna watu wanafikiri JPM anafanya sinema au michezo ya kuigiza
Sisi Watanzania wazalendo tunamuunga mkono kwa nguvu zote mtetezi wa wanyonge
Baada ya kuzuia safari hizo tumeokoa mabilioni mengi ambayo yameingia kwenye budget ya 2016 2017 na ndo maana unaweza pesa nyingi zimeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo
Na bila kusahau mahakama ya mafisadi inakuja ambapo DPP atapeleka Mashauri yote ytasikilizwa... Kuna watu wakiona Rais anafanya juhudi wao roho zinawauma akati maendeleo ni kwa wote
Ivi katika historia ya marais wote mmewahi kuona Rais anazungumza mbele ya watu huku akionyesha hasira zake kwa mafisadi.... Uzuri ni kuwa mnaomtetea fisadi mkono wachache hivo hamfiki mbali sisi tuna songa mbele
Lumumbaaaaa... hoja zimeisha mnajaribu kutisha njaa tupuWatch your words mkuu
Lawama ni bei ya sukari imekuwa mzigo kwa wananchi baada ya maamuzi aliyoyatoa Pombe.Magaufuli kaonyesha kitu tofauti na tulichokua tunatarajia,,
Mi nilijua atakua mwelewa wa sheria,,kumbe imeonekana yeye ni mwelewa wa watu wa hali ya chini.
Sukari kukamatwa kuna watu inawauma mno,, walitarajia walizungumzie wao.
Sasa kwa mda huu hata point hawana,, wanamtuhumu kwa escrow, epa iptl n.k
Sasa hapo yeye inaonekana ndie aliyeyaweka.?? Hivi nyinyi mnataka afanye nini ili kuepukana na haya??
Nina wasiwasi haowafanya biashara wanaokamatwa watakua wadhamini wa kampeni na ahadi nyingi walipewa hasa kulindwa. Sasa mwenyewe kawaumbua na ndio maana wengi wanapiga kelele.
Bira aibu mtu unatoa oni eti ye anaweza lala na kuagiza?? Maana ya kuwa na afya ni nini??
OMBI
TUACHENI CHUKI KWA RAISI, TUSAHAU MAUMIVU YETI YA UCHAGUZI TUIJENGE NCHI
Mkuuu tunapaswa tutoe na sie njia m badala kifanyike nini ili kuepuka hili.Lawama ni bei ya sukari imekuwa mzigo kwa wananchi baada ya maamuzi aliyoyatoa Pombe.
Kwa nini mnatumia nguvu kubwa kutibu dalili za ugonjwa badala ya kuutibu ugonjwa?
Na ndiyo nia ya mafisadi walioficha sukari, watokee wanaotoa lawama kama zako ili kuiangusha serikali. Hii ni vita na ameahidi kupambana nao hadi awashinde wao na wote wanaowaunga mkonoLawama ni bei ya sukari imekuwa mzigo kwa wananchi baada ya maamuzi aliyoyatoa Pombe.
Kwa nini mnatumia nguvu kubwa kutibu dalili za ugonjwa badala ya kuutibu ugonjwa?
Unajua kuna watu wanafikiri JPM anafanya sinema au michezo ya kuigiza
Sisi Watanzania wazalendo tunamuunga mkono kwa nguvu zote mtetezi wa wanyonge
Baada ya kuzuia safari hizo tumeokoa mabilioni mengi ambayo yameingia kwenye budget ya 2016 2017 na ndo maana unaweza pesa nyingi zimeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo
Na bila kusahau mahakama ya mafisadi inakuja ambapo DPP atapeleka Mashauri yote ytasikilizwa... Kuna watu wakiona Rais anafanya juhudi wao roho zinawauma akati maendeleo ni kwa wote
Ivi katika historia ya marais wote mmewahi kuona Rais anazungumza mbele ya watu huku akionyesha hasira zake kwa mafisadi.... Uzuri ni kuwa mnaomtetea fisadi mkono wachache hivo hamfiki mbali sisi tuna songa mbele
Umeme upo?! Maana AR no pawazzzLeo ni siku ya tatu tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atinge mkoani Arusha, Kumekuwa na tetesi kuwa kuna papa lingine la sukari nchini ambalo limeweka maskani yake mkoani humo hivyo Rais Magufuli ameamua kulizukia na kulitumbua mwenyewe live ili kuwatumia taarifa mapapa wengine wadogo wadogo waachie bidhaa hiyo irudi sokoni . . .
Inasemekana Papa huyo wa sukari nchini alisomba tani za kutosha za bidhaa hiyo kutoka TPC moshi na kuipiga lock kwenye ghala lake lisilo kifani mkoani arusha, Hivyo basi simba wa vita Rais Magufuli amemtimbia huko huko Arusha ili akalale nae mbele na kurudisha bidhaa sokoni . . .
Kuwa makini na kauli zako mkuu, hauko salama hata kidogo . . .
Leo ni siku ya tatu tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atinge mkoani Arusha, Kumekuwa na tetesi kuwa kuna papa lingine la sukari nchini ambalo limeweka maskani yake mkoani humo hivyo Rais Magufuli ameamua kulizukia na kulitumbua mwenyewe live ili kuwatumia taarifa mapapa wengine wadogo wadogo waachie bidhaa hiyo irudi sokoni . . .
Inasemekana Papa huyo wa sukari nchini alisomba tani za kutosha za bidhaa hiyo kutoka TPC moshi na kuipiga lock kwenye ghala lake lisilo kifani mkoani arusha, Hivyo basi simba wa vita Rais Magufuli amemtimbia huko huko Arusha ili akalale nae mbele na kurudisha bidhaa sokoni . . .
Mgambo kwa maslahi yako, binadamu hawana heri kabisa.Yani rais wa nchi amekua mgambo?