Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Na mimi nafungia chumvi yote nipate kutembelewa na raisi lol .Yani rais wa nchi amekua mgambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nafungia chumvi yote nipate kutembelewa na raisi lol .Yani rais wa nchi amekua mgambo?
Natamani na wale waliozoa cement ya Dangote ambayo tulikuwa tununue nao watumbuliwe. Ilipotoka tu waliinunua yote na kuifanya isipatikane mitaani. Haya nayo ni majipu na yatumbuliwe ili turahisishiwe kujenga nyumba bora.
Fungia na ujinga wako ili upate atleast akili ya kuvuka barabara . . .Na mimi nafungia chumvi yote nipate kutembelewa na raisi lol .
Kauli ni jela tosha, kuwa makini . . .Hahahhah nchi hii kila mtu maigizo na attention seeker kuanzia Gigi money mpk HiS highness
Na bado mtakaa sawa tu . . .Chura anaruka ruka
hivi mawaziri huwa hawajuia hizi mambo au ndio mambo ya instrumentation au timing.
Bwana mkubwa kasema kucheza na serikali yake ni kucheza na maisha yako . .Wacha we! Ni mwendo wa kutafutana mtu kwa hakuna atakayesalimika kwa kufanya uhujumu uchumi.
Rais ni amri jeshi mkuu namba moja na si mgambo kama unavyowaza kwa akili zako za kifisadi.Yani rais wa nchi amekua mgambo?
Swali la kujiuliza wewe mwerevu ni haki raisi wa nchi kumfuata muuzaji wa sukari awe mkubwa au mdogo kwa sababu amefungia tani kwa tani stoo kwake? Raisi wa nchi hawezi kutoa order akiwa kitandani kwake amelala na akasikilizwa especially kama anajua anachofanya ni sawa? Hizi ni dharau kwa kiongozi wa nchi, Eti anamfuata muuzaji wa sukari!!!!!!!!!!!Fungia na ujinga wako ili upate atleast akili ya kuvuka barabara . .
vitisho?Kuwa makini na kauli zako mkuu, hauko salama hata kidogo . . .
ukweli ni kwamba serikali ifanye survey na iagize sehemu pungufu ya sukari inayopungua nje ya nchi kufidia hilo gap. hao wanaofungia waacheni wafungie mpaka ioze. cha muhimu serikali ikusanye kodi yake. suala la kuvipa uwezo viwanda vya ndani haliwezi kufanyika overnight. ni suala la mpango wa muda wa kati na mrefu na pengine Magufuli atamaliza miaka yake ya uongozi na pengine asifikie hata 50%. tunatambua nia yake njema juu ya kukuza viwanda vya ndani. lakini hiyo isiwe excuse ya kupambana na uhaba wa sukari kwa ku-import kuliko kupambana na hao wanaotaka ku-make profit, na asisahau kuwa hao hawana hata chembe ya huruma kwa wananchi. hatukuyaona haya katika utawala uliopita na sioni sababu ya kupambana na hao wafanyabiashara katika utawala huu kama kuna njia mbadala.Leo ni siku ya tatu tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atinge mkoani Arusha, Kumekuwa na tetesi kuwa kuna papa lingine la sukari nchini ambalo limeweka maskani yake mkoani humo hivyo Rais Magufuli ameamua kulizukia na kulitumbua mwenyewe live ili kuwatumia taarifa mapapa wengine wadogo wadogo waachie bidhaa hiyo irudi sokoni . . .
Inasemekana Papa huyo wa sukari nchini alisomba tani za kutosha za bidhaa hiyo kutoka TPC moshi na kuipiga lock kwenye ghala lake lisilo kifani mkoani arusha, Hivyo basi simba wa vita Rais Magufuli amemtimbia huko huko Arusha ili akalale nae mbele na kurudisha bidhaa sokoni . . .
Swali la kujiuliza wewe mwerevu ni haki raisi wa nchi kumfuata muuzaji wa sukari awe mkubwa au mdogo kwa sababu amefungia tani kwa tani stoo kwake? Raisi wa nchi hawezi kutoa order akiwa kitandani kwake amelala na akasikilizwa especially kama anajua anachofanya ni sawa? Hizi ni dharau kwa kiongozi wa nchi, Eti anamfuata muuzaji wa sukari!!!!!!!!!!!
Atafuata wangapi? Leo hii watokee watu wabinafsi kama hawa wanaoficha sukari wakaficha chumvi je atawafungia safari?
Hayo ndio maswali machache mtu mwerevu angepaswa kujiuliza. Sio kushangilia drama na maigizo yasiyoisha ilhali mimi na wewe hatuoni unafuu wowote kwenye maisha yetu.
nashangaa hapo UWT , TISS , IGP waachie Ngazi kwani hawaaminikiYani rais wa nchi amekua mgambo?
ukweli ni kwamba serikali ifanye survey na iagize sehemu pungufu ya sukari inayopungua nje ya nchi kufidia hilo gap. hao wanaofungia waacheni wafungie mpaka ioze. cha muhimu serikali ikusanye kodi yake. suala la kuvipa uwezo viwanda vya ndani haliwezi kufanyika overnight. ni suala la mpango wa muda wa kati na mrefu na pengine Magufuli atamaliza miaka yake ya uongozi na pengine asifikie hata 50%. tunatambua nia yake njema juu ya kukuza viwanda vya ndani. lakini hiyo isiwe excuse ya kupambana na uhaba wa sukari kwa ku-import kuliko kupambana na hao wanaotaka ku-make profit, na asisahau kuwa hao hawana hata chembe ya huruma kwa wananchi. hatukuyaona haya katika utawala uliopita na sioni sababu ya kupambana na hao wafanyabiashara katika utawala huu kama kuna njia mbadala.