Tetesi: Rais kujichimbia Arusha neema ya Sukari inakuja . . .

Leo ni siku ya tatu tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atinge mkoani Arusha, Kumekuwa na tetesi kuwa kuna papa lingine la sukari nchini ambalo limeweka maskani yake mkoani humo hivyo Rais Magufuli ameamua kulizukia na kulitumbua mwenyewe live ili kuwatumia taarifa mapapa wengine wadogo wadogo waachie bidhaa hiyo irudi sokoni . . .

Inasemekana Papa huyo wa sukari nchini alisomba tani za kutosha za bidhaa hiyo kutoka TPC moshi na kuipiga lock kwenye ghala lake lisilo kifani mkoani arusha, Hivyo basi simba wa vita Rais Magufuli amemtimbia huko huko Arusha ili akalale nae mbele na kurudisha bidhaa sokoni . . .
 
Amewakimbia akina:lugumi,escrow,iptl,egma dar es salaam,anakimbilia ara chuga kukimbizana na mfanya biashara dagaa,tena mmoja tu,ahahaha!
Kweli huu ni uchura!
 
Leo tumesali nae kanisani, tunamwombea sana raisi wetu Mungu azidi kumlinda atumbue majipu haya yanayotesa waTanzania. Jakaya nilizoea kumwona tu barabarani kwani alikuwa hatulii akija kesho yake keshaondoka. Huyu ndo raisi anakaa na wananchi kusikiliza kero na kuzitatua. Msiwe na wivu sana kwakuwa mlimzoea JK, hata akikaa mwezi huku Arusha ni sawa na amekaa Dar tu.
 
Sukari ipo au haipo.Mengine ni maigizo ya bongo movies yanachuja ndani ya wiki.
 
Sasa kazi ya kuwatafuta wahalifu physically ni kazi ya nani?
Sasa hivi hakuna habari ya kazi ya nani wala nini...hakuna mgambo wala polisi ni mwendo wa hapa kazi tu, sheria weka pembeni zitatuchelewesha. Mkuu hata jirani yako alikuletea fyokofyoko unamfyokoa tu, hakuna habari ya polisi. Mwizi akiiba choma moto, yaani ubabe ubabe tu mpaka tunyooke.
 
Leo tumesali nae kanisani, tunamwombea sana raisi wetu Mungu azidi kumlinda atumbue majipu haya yanayotesa waTanzania. Jakaya nilizoea kumwona tu barabarani kwani alikuwa hatulii akija kesho yake keshaondoka. Huyu ndo raisi anakaa na wananchi kusikiliza kero na kuzitatua. Msiwe na wivu sana kwakuwa mlimzoea JK, hata akikaa mwezi huku Arusha ni sawa na amekaa Dar tu.
Tuzidi kumuombea . . .
 
Leo ni siku ya tatu tangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atinge mkoani Arusha, Kumekuwa na tetesi kuwa kuna papa lingine la sukari nchini ambalo limeweka maskani yake mkoani humo hivyo Rais Magufuli ameamua kulizukia na kulitumbua mwenyewe live ili kuwatumia taarifa mapapa wengine wadogo wadogo waachie bidhaa hiyo irudi sokoni . . .

Inasemekana Papa huyo wa sukari nchini alisomba tani za kutosha za bidhaa hiyo kutoka TPC moshi na kuipiga lock kwenye ghala lake lisilo kifani mkoani arusha, Hivyo basi simba wa vita Rais Magufuli amemtimbia huko huko Arusha ili akalale nae mbele na kurudisha bidhaa sokoni . . .
Siku hizi kupata sukari ni neema?.Kaazi kweli kweli.
 
Natamani na wale waliozoa cement ya Dangote ambayo tulikuwa tununue nao watumbuliwe. Ilipotoka tu waliinunua yote na kuifanya isipatikane mitaani. Haya nayo ni majipu na yatumbuliwe ili turahisishiwe kujenga nyumba bora.
 
Back
Top Bottom