What part of "luxury", as opposed to 'need', don't you understand?
Here is a Dictionary Definition of luxury:
Something that is an indulgence rather than a necessity
Now is a pipi/peremende a necessity the way water/food is?
Zakumi rejea tafsiri ya "luxury" hapo juu. Huu sio muda wa Rais ku-"indulge" watoto maskini wa Tanzania ambao kupata maji safi na salama ni ndoto, kusoma shule bora ni njozi, na kupata matibabu mazuri ni habari ya kufikirika na si ya kusadikika. Hiyo Watanzania tunaita 'danganya toto'. Utamu huo utamfanya mtoto huyo azubae na kupumbaa. Nasema hivi: Mpe zawadi itakayomhamasisha na kumchochea asirithi umaskini na uvivu wa kufikiri, kuhoji na kuvumbua ambao kizazi hiki kimeurithi.
Nyani the whole is bigger than the sum of its parts. You may be okay as one of the parts of whole. But the whole is not okay. Now isn't that a (very) big deal?
Ndio, huko kwa Einstein kuna pipi kibao. Lakini hizo sizo wanazotumia kuchochea fikra za watoto wao ili waje waunde hizo roketi. Yaani aah alishindwa kumzawadia kiroketi?
I am not playing semantics or marbles. I am simply saying that a sweet is not a basic need. Poor children go hungry to school. Giving them sweets is contempt in disguise.
Again pipi is not a big deal but for some reason you guys are making it seem as if it is the end of the world or something. Come on dude, it's just candy...not a big deal...do you get it?
No wonder people like you fail to see the bigger picture - i.e the act of a President handing out pipi to a seemingly malnourished, hungry and needy kid ! What was in his mind ?
This is the President for God's sake !
I wont be surprised if next year he will make another visit to dish out kangas and caps to grown-ups this time like he did in 2005 to solicit votes.
What for heavens sake makes him desperate to occupy the white house,
why does he want to become president - to dish out pipis to kids he meets in his tours locked up in the comfort of luxurious, expensive four wheel drives ?
Is this the image he wants the kids of this poor country to remember him for, the candyman Presidaa ?
No, in the context of this debate and what's being shown in that photo it's not a big deal unless you make it to be a big deal. Get it?
Kwani Muungwana alivyompa dogo hizo pipi lengo na shabaha yake ilikuwa ni kuchochea fikra za huyo dogo? Ingekuwa kaenda kutembelea shule na baada ya kuona jinsi watoto wanavyosoma na kuishia kugawia darasa zima pipi hapo ungekuwa na hoja ya msingi kulingana na setting. "Ungesema yaani huyu Kikwete anaenda kutembelea shule isiyo na vifaa vya kutosha na badala ya kuwapa watoto kalamu, madaftari na vitabu anaishia kuwagawia pipi" Hapo tungekuwa ukurasa mmoja mkuu. Lakini hii ilikuwa barabarani tu akijitayarisha kuondoka. Ilikuwa haijapangwa. Ebana wee vipi leo..duuuh! Unaniangusha sasa. Man you are a piece of work today!!!
I don't see the contempt anywhere. It must be in the eyes of the beholder!
Okay, so what did you want him to do? Hand out a bucket full of chicken wings so the kid could eat?
This was established back in 2005. We all know he is the president. So what's your point?
Name one politician who doesn't do that.
What white house? Ikulu/ State House is now called the white house?
He is already the president you dummy! Where have you been?
He'll be remember for many things. If you decide to regard this picture be his main legacy, then go head.....
Don't personalize the debate.
Kujua ilipangwa au haikupangwa hilo mimi na wewe hatujui. Wote tunaenda na kinachoonekana kwenye picha tu. Na kinachoonekana kwenye picha ni Kikwete akimpa dogo pipi huku akiwa kajifunga mkanda wa gari jitu kinacho suggest kwamba alikuwa kajiweka tayari kuondokaUmejuaje hii ilikuwa haijapangwa? Mtoto alijileta tu nje ya hoteli.
Pipi zote zile! Unataka kuniambia zile pipi zinazowekwa hotelini yeye alizizoa tu?
Mbona hiyo sentensi hapo juu hujaiweka hivi: "Ungesema yaani huyu Kikwete anaenda kutembelea kijiji kisicho na shule zenye vifaa vya kutosha na badala ya kuwapa watoto kalamu, madaftari na vitabu anaishia kuwagawia pipi". Huo ndio muktadha. Alikuwa Kijijini. Maskini!
Nyani the whole thing was planned to be a publicity stunt..
Surely some, like you, have fallen for it while others,
like me, are questioning it for what it is - a ridiculous and bizarre scenario executed with poor taste, disgusting and unbefitting for a Prez, am out.
Ilikuwa haijapangwa.
Kujua ilipangwa au haikupangwa hilo mimi na wewe hatujui.
Kha! Da kumbe kweli kipendacho roho hula nyama mbichi! Endelea kutetea vitu ambavyo hujui kuwa vimepangwa japo ulidai vimepangwa!
By the way, ever heard of 'PR stunt'? Ever taken for a ride? A presidential ride for that matter?
No wonder people like you fail to see the bigger picture - i.e the act of a President handing out pipi to a seemingly malnourished, hungry and needy kid ! What was in his mind ? This is the President for God's sake ! I wont be surprised if next year he will make another visit to dish out kangas and caps to grown-ups this time like he did in 2005 to solicit votes. What for heavens sake makes him desperate to occupy the white house, why does he want to become president - to dish out pipis to kids he meets in his tours locked up in the comfort of luxurious, expensive four wheel drives ? Is this the image he wants the kids of this poor country to remember him for, the candyman Presidaa ?
Hayo maswali anatakiwa aulizwa mzazi na sio mpita njia. Mnazidisha sana hisia kiasi cha kupoteza rationally za kufikiri sasa.
Angempa mwanangu ningemtupia usoni na kumweleza kuwa mwanangu haitaji pipi ila uhakika wa elimu na matibabu pia na chakula.
Angempa mwanangu ningemtupia usoni na kumweleza kuwa mwanangu haitaji pipi ila uhakika wa elimu na matibabu pia na chakula.