Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
Mpaka sasa hamjaonyesha chochote kibaya kilichotokana na Kikwete kumpa pipi dogo. Je, taifa limeingia hasara? Je, Kikwete asingempa pipi dogo kungekuwa na tofauti gani? Ghafla bin vuu dogo angerudi nyumbani na kukuta almasi kwenye sakafu?
Kuna mambo na mambo ya kukosoa. Lakini haya mengine ya peremende kwa watoto ni mambo trivial kwa kweli. Mkomalieni kuhusu ununuzi wa rada mbovu. Mkomalieni kuhusu Meremeta. Mshikieni bango Buzwagi. Mshikieni bango kuhusu maswala muhimu ya kitaifa.
Mnamshikia bango kama vile aliamka siku nzima na kuanza kugawa pipi hadi machweo. Specifically nitajieni ubaya wa yeye kuchukua vi dakika vichache baada ya kufungua hoteli ya kitalii na kumpa dogo hivyo vipipi. Taifa liliingia hasara gani kwa yeye kugawa hizo pipi?
You guys are complaining about pipi? Really? Just a couple candies? It's just candy y'all....candy..that's all it is....candy....Please tell me it ain't so.
There is loss by commission and loss by omission. Kuna hasara kwa kufanya na hasara kwa kutofanya. That was a missed opportunity to invest in the future of that kid as a representative of the kids of this nation. Hiyo lilikuwa fursa iliyopotea ya kuwekeza kwenye maisha ya mbele ya huyo mtoto kama mwakilishi wa watoto wa taifa hili. He was suppososed to commit an act of offering an inspiring and sustainable gift. Alitakiwa afanye kitendo cha kutoa zawadi endelevu na yenye hamasa. For instance, he could have offered him a mathematical set, a lego, puzzle, or a drawing case. Angeweza kumpa mkebe, vitufe vya kuunganisha, mchezo wa chemsha bongo au mkebe wa kuchorea.
What you do badly has the same negative effect as what you could have done well but did not do. Unachokifanya vibaya kina athari sawa ni kile ambacho ungeweza kukifanya vizuri ila hukukifanya.
You don't have to be a candy man! Sio lazima uwe mtu wa pipi!