Rais kumzawadia mtoto pipi alikuwa na maana gani?

Mkuu hapo tupo ukurasa mmoja sana, ila wengine kama kawaida wanaona 'sio big deal' hakuna cha kuhoji hapo!

Kwangu mimi sio big deal kwa sababu sifanyi evaluation ya kiongozi kwa kutumia hisia (emotions).
 
Kwangu mimi sio big deal kwa sababu sifanyi evaluation ya kiongozi kwa kutumia hisia (emotions).

Duh! Mkuu Za10 hakuna emotions hapo (again wewe unaweza kuona kuwa ni emotions) ila kwa siye wengine ni 'critical thinking' mkuu!

Pamoja.
 
Kwangu mimi sio big deal kwa sababu sifanyi evaluation ya kiongozi kwa kutumia hisia (emotions).

Thats a circular argument. Lojiki yako imepinda. Hisia/Emotions can go either way - big and/or no big deal.
 
Thats a circular argument. Lojiki yako imepinda. Hisia/Emotions can go either way - big and/or no big deal.

Mkuu Companero, si unajua wengine wakiona kitu cha bluu kwa vile wamevaa miwani ya bluu hawawezi kuamini kuwa miye niliyevaa miwani myeusi nitakiona kitu hicho hicho kuwa ni cheusi?
 
I could rightfully blame Kikwete for the two issues below.

1. The act of giving candies sends a wrong message about his awareness of dental health and diet in general.I would rather see Kikwete give oranges or some other fruits.Firstly they would more than probable be farmed in Tanzania, the candies in question are most probably not even made in Tanzania, so you have a president who not only jeopardize a young Tanzanian's dental formula and enable bad diet, but also undermines Tanzanian farmers.

2. Kikwete should know better than to sit upfront like pictured, for security reasons. This goes to show you so much about his thinking.

I started by saying that I could criticize Kikwete rightfully by the above points, but I won't, for Kikwete is a medieval imbecile who does not deserve the consideration that he could reason on this somewhat minute level.

I doubt you could rightfully blame this imbecile for much, blame those who put him in power instead, if it is necessary at all.
 
Last edited:
Miwatu mingine bana!! sasa kwani hapa kuna ussue gani? mi sielewi.......hapa sio mahala pake.

angempa minoti ya ada mpaka form six, na watoto wengine je?
 
Sioni tatizo lolote kwa Mheshimiwa Rais kutoa zawadi hiyo kwa huyo mtoto. Bahati mbaya picha yenyewe ni ya mnato na hivyo hatuonyeshi kilichoendelea nbaada ya hiyo zawadi. Hata hivyo kama mzazi na kama kiongozi hiyo ni ishara ya upendo full stop! Ila mkuu kusema kwamba rais hahusiki na safura yetu? rais hahusiki na njaa yetu? hapo naona umeteleza. Najaribu kujiuliza kama kweli rais angekuwa na uwezo kuthibitisha pasi na shaka kwamba yule mtoto na safura angefanya nini? je, kama angeweza kutibithisha kwamba yule mtoto hajatia ndani siku kadhaa angefanya nini? nimejaribu kujiuliza japo kizushi tu hivi kwa nini rais anawatangazia wananchi wake kwamba hawatakufa kwa njaa? kwa nini rais anatangaza vita dhidi ya maradhi? Hata kama huyo mtoto ana wazazi ambao kimsingi ndo wenye wajibu wa kumlea lakini kama rais angethibitisha tatizo kwa mtoto huyo ni lazima angechukua hatua hata kwa kuwataka wazazi wa mhusika kulishughulikia kama liko ndani ya uwezo wao.
 
Duh! Mkuu Za10 hakuna emotions hapo (again wewe unaweza kuona kuwa ni emotions) ila kwa siye wengine ni 'critical thinking' mkuu!

Pamoja.

Emotions zipo nyingi sana hapa ndio maana watu wanakuwa irritional. Hata wale wanaofanya critical thinking wakati mwingine wanapata mental breakdown na kuanza kutoa vitu vya ajabu.
 
Emotions zipo nyingi sana hapa ndio maana watu wanakuwa irritional. Hata wale wanaofanya critical thinking wakati mwingine wanapata mental breakdown na kuanza kutoa vitu vya ajabu.

.....no way .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…