Watu wengine mahepe ,sasa mtoto ana safura au minyoo ,yeye imemuhusu nini ? Maana kwa hivyo mnavyofikiria ,sijui mtoto hajashiba au ananjaa sioni hoja hiyo kunhusisha na Raisi mpita njia tu !!
Zipo hoja za kuhoji lakini si hali ya mtoto ambayo inahitaji daktari kujua yote hayo.
Tatizo WaTanganyika hamtosheki ,hivi mlitaka agawe gari moshi ,pipi ni kitu maarufu kwa watoto wote duniani na si kiongozi kumgaia mtoto lakini hata wapita njia wengine huwa wakipita kwenye kikundi cha watoto na akafurahi nao anaweza kuwagaia chochote ambacho kipo karibu yake na kinalingana.Hapahitajiki milioni katika kufanya ibada hiyo.
Yaani kama Raisi angekasilika kwa mtoto kuigusa gari yake hapo ningelalamika maana wapo watu hawataki gari zao ziguswe wala kuegemewa.
Mnachosha sana ,hivi mngeona anatoa fedha mngesemaje ? anatumia hela kifisadi ,najua msingekosa la kusema.
Ila naona amejua wa kumpa pipi kama angempa mtu mzima ela,basi mtu huyo angeenda kuponda na kuzarau huku hela ametia mfukoni akiipangia cha kununua.