Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

Yani hako kakikaa ofisini mwaka tu report ya Cag itakuja imegeuka juu chini hata yeye mwenyewe atashangaa pesa zimepigwaje mbele yake bila yeye kuona.
Mkuu kwani hawana elimu stahiki na uzoefu wa kutosha kwa kujaza nasafi hiyo?
 
Nakubaliana nawe Mkuu. Nadhani siku hizi huko Serikalini hakuna promotion, kwa kweli inawakatisha tamaa na kuwavunja moyo maafisa ambao walikuwa wawe promoted. Vitu vidogo vidogo kama hivi ndivyo vinavyo sababisha makosa haya tunayoshududia leo katika nyanja ya Utumishi na Utawala Bora. YAREKIBISHENI - HAYAPENDEZI.
 
sawa subirini mjifunze kupitia mistakes zitakazoibuka kwenye report ya CAG.
Mkuu sio tusubiri, mbona hizo audit queries zipo nyingi tu na zinakosa majibu na hakuna anayewajibishwa? Ndio maana TZ via WATU HAWA MAENDELEO BADO KABISA
 
Mkuu sio tusubiri, mbona hizo audit queries zipo nyingi tu na zinakosa majibu na hakuna anayewajibishwa? Ndio maana TZ via WATU HAWA MAENDELEO BADO KABISA
Sawa cheif kila la heri katika kuwaburuza hawa makondoo(wananchi)
 
Haya yote ni mandalizi ya uchaguzi mkuu 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…