Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Nimekuta kufuli huko ila usijali, dah! Hii nchi ngumu kweli!Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuta kufuli huko ila usijali, dah! Hii nchi ngumu kweli!Karibu
Ilikuwa hivyo enzi za mkapa. Nafsi zinatqngazwa, wenye sifa wanaomba, baada ya kusailiwa, Tamisemi wanatangaza .moja baada ya mwingine kulingana na nafasi. Naku buka sif kubwa ilikuwa uwe umefanya kqzi katika senior post kwa miaka 12.Kama haya ndiyo majukumu ya DED basi maDED wote wawe either WACHUMI ama WAHASIBU.
Nchi bado mbichi inalika kirahisi sanaNimekuta kufuli huko ila usijali, dah! Hii nchi ngumu kweli!
Imevuja : yeye ndiye kawateuaRais anapoteua watu then KM au Waziri akaelekeza wawasilishe vyeti au CV haileti tafsir kwamba Rais anakosolewa kwa maamuzi ya uteuzi aliyofanya?
Lakini napenda kujua, kwa kazi zinazohitaji wasomi Ni kipi kinatangulia kupeleka vyeti au kuteuliwa? Kama tunateua ndipo walete vyeti tunatumia sifa gani?
Angewaandikia barua confidential direct kwa wahusika.Biashara yakwenye mitandao haileti afya.Hii inaonyesha kuna harufu ya vyeti feki kwenye copy walizochukuaKwa yanayoendelea ni dhahiri serikali haina muunganiko kiutendaji
Magu enzi zake alikuwa anazindua ofisi ya Takukuru mahali Fulani.Kahutubia na kumchambua Mkurugenzi wa Takukuru kwa matumizi mabaya ya kujenga ofisi mikoani.
Akasema ninajua unazidiwa huna msaidizi.
Akauliza swali kwa wafanyakazi wa Takukuru
"NANI MZURI ATAWAFAA KUWA MSAIDIZI WENU"
Vetting papo kwa hapo
Binafsi nimeelewa kwamba, vinahitajika ili vikae kwenye mafaili yao..!!Rais anapoteua watu then KM au Waziri akaelekeza wawasilishe vyeti au CV haileti tafsir kwamba Rais anakosolewa kwa maamuzi ya uteuzi aliyofanya?
Lakini napenda kujua, kwa kazi zinazohitaji wasomi Ni kipi kinatangulia kupeleka vyeti au kuteuliwa? Kama tunateua ndipo walete vyeti tunatumia sifa gani?
Wakurugenzi wanatakiwa wawe na technicality za ujuzi na siyo Siasa. Yaani makada wengine empty set. Kuna mmoja ninamfahamu katika huu uteuzi sijui huko Halmashauri akutane na wataalam wa Idara sijui atafanyaje?Nafikiri hili la wakurugenzi kutakiwa kupeleka vyeti na cv siyo geni bali Ummy ana likuza sana na ni wazi kwa jinsi anavyo liongelea ni wazi lina leta hisia hasi kwa mamlaka ya uteuzi hasa kwa nafasi nyeti kama ya mkurugenzi.
Nafikiri Ummy anatakiwa kujua nini cha kuongea au nini si cha kuongea ili kutoleta uvukaji mipaka
Lakini nakumbuka baada ya kuapishwa, Katibu Kiongozi ambaye ndiye mhusika mkuu wa masuala ya kiutendaji, alisema kati ya tatizo aliliona kwenye serikali lilikuwa ni hili unalosema la serikali kufanya kazi' in silos'.Kwa yanayoendelea ni dhahiri serikali haina muunganiko kiutendaji
Nakumbuka MaDAS ndio walikuwa wanaambiwa waende na CV zao na vyeti TAMISEMI hili la Wakurugenzi sijui limekaajeWakati alipokuwa wizara ya afya angalau aliweza kuimudu wizara. Alikuwa waziri humble na mwenye maamuzi makini. Alijenga hoja wakati wa hotuba zake na agharabu alisimamia suala la COVID 19 wakati wake akiwa Waziri wa afya...