Rais kuteua waliotenguliwa ni kuipaka matope ofisi, vinginevyo Serikali itoe ufafanuzi

Rais kuteua waliotenguliwa ni kuipaka matope ofisi, vinginevyo Serikali itoe ufafanuzi

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana.

Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia rais kwenye hili baadala ya kuacha limchafue maana umma wote utaamini ni "maamuzi"ya Rais Mama Samia.

20230608_094017.jpg

IMG_7508.jpeg
20230124_181609 (2).jpg
 
Halafu wamepangiwa kazi kule kule walikokuwa wameondolewa
 
Back
Top Bottom