Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM

Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth as Tanzania

Welcome to the United Republic of Tanzania Mr president 🇹🇿 🇲🇼

EjiXLDAXsAEwB3r.jpg
 
Mmefungua uzi huu kwenye jukwaa hili ndio iweje sasa? Isiwe eti nia yenu ni kuwaringia wakenya na mgeni ambaye akipenda anaweza akatumia hata boti tu kuvuka ziwa Nyasa kwenye safari yake ya kuja Tz. [emoji1] Acheni ushamba majirani, sasa mzee wenu hapo ikulu akipata wageni kama wa rais Kenyatta, k.m. Netanyahu wa Israel, siku hiyo si mtapagawa wote muanze kuchapa zile push up zenu mbele ya wageni? [emoji1] Alafu rais Chakwera ameishi Kenya kwa muda mrefu, Buru Buru jijini Nairobi na mji wa Kitengela, gatuzi la Kajiado. Kwahivyo sio mgeni kwa wakenya na kwa nchi ya Kenya. Maunjanja yote ya kisiasa ameyapata akiwa nchini Kenya, yeye na mwenzake rais Joyce Banda, aliyemtangulia hapo zamani kidogo. Malawi president Chakwera and his Kenyan connection
 
Utamsikia lissu mbeligiji oh Magufuli anapendelewa,sasa apendelewe vipi wakati mwenzio nafanya kampeni huku anakofia mbili ,mgombea urais pia rais,

Poor lissu mashavu makubwa
 
Anakuja kufundishwa ufashisti, ukatili, Kuvunja katiba, matusi, utekaji, uuaje etc

Mbona kwenye tangazo hayo hatujayaona. Wewe umeyatoa wapi?
Usituletea stori za kwa Mama joni na mwanjelwa hapa.
😛 😛 😛
 
Back
Top Bottom