Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hao marais wa Kenyata wamemsaidia nini kama deni lake ni 67% ya pato la taifa?Mmefungua uzi huu kwenye jukwaa hili ndio iweje sasa? Isiwe eti nia yenu ni kuwaringia wakenya na mgeni ambaye akipenda anaweza akatumia hata boti tu kuvuka ziwa Nyasa kwenye safari yake ya kuja Tz. [emoji1] Acheni ushamba majirani, sasa mzee wenu hapo ikulu akipata wageni kama wa rais Kenyatta, k.m. Netanyahu wa Israel, siku hiyo si mtapagawa wote muanze kuchapa zile push up zenu mbele ya wageni? [emoji1] Alafu rais Chakwera ameishi Kenya kwa muda mrefu, Buru Buru jijini Nairobi na mji wa Kitengela, gatuzi la Kajiado. Kwahivyo sio mgeni kwa wakenya na kwa nchi ya Kenya. Maunjanja yote ya kisiasa ameyapata akiwa nchini Kenya, yeye na mwenzake rais Joyce Banda, aliyemtangulia hapo zamani kidogo. Malawi president Chakwera and his Kenyan connection
Si bora huyu wa jirani naweza hata kubeba kiroba cha mahindi kichwani nikaenda kuuza huko?
Bavicha nyie endeleeni tu na faragha zenu ndio mnachokiweza.