Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM

Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth as Tanzania

Welcome to the United Republic of Tanzania Mr president 🇹🇿 🇲🇼

View attachment 1590688
Anakuja luxury Tanzania au anakuja kuzurula Tanzania
 
Nimesikia Jamaa pia ameandaa hitaji kwa Bunge la Malawi kuomba Kukasimisha baadhi ya Mamlaka yake (Mamlaka ya Raisi kwa Bunge) Sina details sana ila nilipita pita kwenye taarifa zetu humu JF. Sina hakika na Hilo ila kama ni kweli, basi yuko smart sana, Hataweza kupokea ushauri wowote wa ukandamizaji Raia.
Ni ukweri mtupu sema wa Malawi ni watu wakujielewa pia anaenda bungeni kujibu maswali kutoka kwa wabunge of national interest.
 
sasa
Uongozi Mungu ndio hutoa sio kelele za kiingereza za akina Lisu
sasa Magu atajuta kwanini kidhungu mhimu leo au kusiwe presser laivu leo.....huyu Dr Laz sio wakina Lissu ni hatari
 
Back
Top Bottom