Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

Dada yangu sidhani kama Unafuatilia Vyema siasa; Chama Tawala ni Democratic Progressive Party (DPP); Mwaka jana mwezi wa sita vyama vya upinzani viliungana katika umoja waliouita Tonse Alliance, vikapambana na chama tawala Democratic Progressive Party (DPP) na kufanikiwa kuking'oa madarakani.
Lazarus Chikwira ndo alisimamishwa kwenye umoja huo; Sasa Anakuwaje kama CCM?? Au mie ndo sijakuelewa??

Lazarus Chikwera anatoka chama cha Malawi Congress Party, Chama cha kwanza kabisa Malawi ambacho kilianzishwa na Kamuzu Banda na kutawala malawi kwa miaka 34.

Kikaja kuangushwa na Bakili Muluzi, na baada ya hapo vilikuja vyama vingine viwili kabla tena kurudi madarakani.

Kama memory yangu serves me right, kimekuwa nje ya utawala kwa miaka 20 hivi.
 
BREAKING NEWS;

Rais Chakwera wa Malawi, kesho ataweka jiwe la msingi katika stand mpya ya mabasi yaendayo mikoani pale Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam.

Naamini Lissu na CHADEMA nao watashiriki kuweka Jiwe la Msingi kwenye Maendeleo ya vitu vinavyotumiwa na binadamu yaliyofanywa katika awamu ya tano.

#KeshoTunaJamboLetuMbezi.
 
Wiki iliyopita alikwenda Zambia na mwishoni mwa wiki akaenda Zimbabwe na wiki hii akaenda Msumbiji, ziara zake ni za siku mbili.
 
Jiwe Linahangaika kupata support ya kampeni.

Anasahau kuwa Rais Chikwera ni zao la Upinzani huko Malawi.

Yeye alisema anataka kuua upinzani hajui upinzani upo moyoni mwa watu.
Hakuna mtuasiyekuwa mponzani labda awe ni Roboti.

Atachezeshwa Singeli na kupiga sana magoti.

Dunia nzima haimtaki
 
Magufuli atatumia lugha gani kuongea na Chakwera? Kisukuma? Angemuita January Makamba aje amtafsirie!

Pia hivi Magufuli anajua Chakwera ni wa vyama vya upinzani? Yeye anamkaba Lisu halafu anamualika Rais ambaye ni zao la peoples power!!! Yaani sawa mchawi anakukaba usiku hala mchana anakuja kukupa pole!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama chikwera ni Mpinzani so what? Inampunguzia nini JPM! Peleka unyumbu wako ufipa!
 
Lazarus Chikwera anatoka chama cha Malawi Congress Party, Chama cha kwanza kabisa Malawi ambacho kilianzishwa na Kamuzu Banda na kutawala malawi kwa miaka 34.

Kikaja kuangushwa na Bakili Muluzi, na baada ya hapo vilikuja vyama vingine viwili kabla tena kurudi madarakani.

Kama memory yangu serves me right, kimekuwa nje ya utawala kwa miaka 20 hivi.
yaani hapo ni kama CCM imerudi madarakani ndio maana wanakuja kubadilishana mawazoa sasa !

hapo nimeelewa ...
 
Sasa kama chikwera ni mponzani so what? Inampunguzia nini JPM! Peleka unyumbu wako ufipa!
Hugo chikwera akiweka jiwe la msingi stend ya mbezi so what? Magu kapanic stend yenyewe bado kabisa anaendaje kuzindua project ambayo haijakamilika, na kipindi hiki wageni wanakuja kama wote
 
Rais anaemaliza muda wake amemwalika nchini raisi wa Malawi hapo kesho
Bwana Lazaro Chakwera atakuwa hapa nchini kwa muda wa siku 3 ,kwa ziara rasmi ya kikazi
 
Hii miradi inafunguliwa haraka haraka kuwahi kampeni baada ya kuishiwa maneno ya majukwaani
 
Haya nasubiri nione huyo mmeo akikupa nafasi hata ya kubrush viatu vyake isitoshe unaishi kwa shemeji yako, tafakari wenzio waliokutanika taifa maelfu kusaka ujira wa nusu laki ndo utajua mmeo unampigia chapuo bure
Naona Umepanic ! Siwezi kuendelea kujibishana na wewe! Mimi sio size yako!.
 
Back
Top Bottom