Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Kesho Rais Wa Jamhuri Ya Malawi Dr Chakwela
Atafanya Ziara Hapa Tanzania Kwa Siku Tatu
Kuanzia Tarehe 07.10.2020 ~ 09.10.2020
Ziara Yake Ni Kuafuatia Mwaliko Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dr Magufuli, Hivyo Lengo Ni Kuimalisha Mahusiano Mazuri Yaliyopo Kati Ya Nchi Mbili Hizi, Tanzania Na Malawi.
Tanzania Kwasasa Inaelekea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa Rais, Muda Huu Nchi Imepata Kutembelewa Mpaka Sasa Hivi Na Marais Hawa, Rais Wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni Alikutana Na Mwenyeji Wake
Mkoani Geita, Wilaya Ya Chato
Hapo Walizungumzia Bomba La Mafuta Kutoka Hoima Uganda Hadi Tanga Tanzania Waliweka Saini Kazi Indelee.
Tulipata Kutembelewa Na Rais Wa Burundi
Walikutana Na Mwenyeji Wake Mkoani Kigoma Ambapo Pamoja Na Mazungumzo Walizindua Jengo La Mahakama Kuu Lilipo Kigoma.
Ziara Ya Kesho Watakutana Dar es Salaam Pia Inakuwa Ziara Yenye Siku Nyingi Kuliko walizo Fanya Rais Wa Uganda, Na Burundi Ambapo Zilikuwa Za Siku Moja Tu.
Tutegemee Kuendelea Kupokea Ugeni
Tujitokeze Kupokea Mgeni