Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Huwa una uwezo mdogo sana wa kufikiri,so ulitaka tweet ya macron mwenyewe,macron hutweet kila kauli yake!?Habari za kimisikitini usilete kwa watu wanaopenda ukweli.. msihamishe ibada zenu za uongo hadi kuleta uongo jf.
Lete tweeter au word of Marcon not third part shehe from Msikiti Tv
Hiyo kutoka ufaransa nilijua watu kama nyie mtakuja. Kama una aap ya x ingia usome mwenyewe kwa kifaransa.Habari za kimisikitini usilete kwa watu wanaopenda ukweli.. msihamishe ibada zenu za uongo hadi kuleta uongo jf.
Lete tweeter au word of Marcon not third part shehe from Msikiti Tv
Wewe sidhani kama sio mgonjwa wa akili.Habari za kimisikitini usilete kwa watu wanaopenda ukweli.. msihamishe ibada zenu za uongo hadi kuleta uongo jf.
Lete tweeter au word of Marcon not third part shehe from Msikiti Tv
Kumbe Macron ni kiazi hivyo?!!Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Kama iliundwa kwa azimio la UN basi waheshimu maazimio ya UN. Hilo nitusi kubwa sana. Kheri yetu watanzania nchi yetu haijapatikana kwa kikao cha UN.Kumbe Macron ni kiazi hivyo?!!
Kwani kama iliundwa kupitia UN kuna shida?
Ndiyo magaidi waachwe wawe wanajipigia watakavyo?
Je, anasemaje kuhusu hizo nchi zilizotakana na kikao cha majambazi (ikiwemo France) kule Berlin 1884-85?!!
Hakuna tofauti maana hata nchi zetu zilipatikana kupitia kikao cha mabeberu Berlin huko, lakini hiyo haiwezi kutufanya misukule yaoKama iliundwa kwa azimio la UN basi waheshimu maazimio ya UN. Hilo nitusi kubwa sana. Kheri yetu watanzania nchi yetu haijapatikana kwa kikao cha UN.
Inatakiwa umuelewe macron anamaanisha Israel ni nchi imepatikana kimchongo tu kwa sababu wenye nchi ni wapalestina. Sasa cha ajabu Netanyahu anawavimbia mpaka UN ambao ndio waliwapa nchi kinguvu haushangai hilo?Kumbe Macron ni kiazi hivyo?!!
Kwani kama iliundwa kupitia UN kuna shida?
Ndiyo magaidi waachwe wawe wanajipigia watakavyo?
Je, anasemaje kuhusu hizo nchi zilizotakana na kikao cha majambazi (ikiwemo France) kule Berlin 1884-85?!!
Chukua hiyo kutoka ufaransa kwenyewe kwa wagalatia wenzetu. Kama Tena hauamini utakua na matatizo.Source suleiman ahmed .yani wagalatia tuamini source ya mvaa kobazi
Ya kwamba ww una uchungu na Israel kuliko Ufaransa iliyo shiriki kuliunda taifa hilo na mpaka sasa inashiriki kulilinda?Kumbe Macron ni kiazi hivyo?!!
Kwani kama iliundwa kupitia UN kuna shida?
Ndiyo magaidi waachwe wawe wanajipigia watakavyo?
Je, anasemaje kuhusu hizo nchi zilizotakana na kikao cha majambazi (ikiwemo France) kule Berlin 1884-85?!!
Hivi hizo chuki zenu dhidi ya waisilam huwa zinatokana na nn hasa?Habari za kimisikitini usilete kwa watu wanaopenda ukweli.. msihamishe ibada zenu za uongo hadi kuleta uongo jf.
Lete tweeter au word of Marcon not third part shehe from Msikiti Tv
Inatakiwa umuelewe macron anamaanisha Israel ni nchi imepatikana kimchongo tu kwa sababu wenye nchi ni wapalestina. Sasa cha ajabu Netanyahu anawavimbia mpaka UN ambao ndio waliwapa nchi kinguvu haushangai hilo?
Itoshe kusema tu kuwa huyo Macron ni mpuuzi mnoo 🚮Ya kwamba ww una uchungu na Israel kuliko Ufaransa iliyo shiriki kuliunda taifa hilo na mpaka sasa inashiriki kulilinda?
Uwo uchungu ungeuamishia kwenye nchi yako iliyo jaa mambo ya hovyo ingekuwa Jambo la maana sana.
Tupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.Inatakiwa umuelewe macron anamaanisha Israel ni nchi imepatikana kimchongo tu kwa sababu wenye nchi ni wapalestina. Sasa cha ajabu Netanyahu anawavimbia mpaka UN ambao ndio waliwapa nchi kinguvu haushangai hilo?
Yaani mtu uliye panga chumba na sebule na unaendeshwa kama mbuzi na ccm , unamuita kiongozi wa taifa kubwa kijeshi na kiuchumi kuwa ni mpuuzi?😀😀😀😀😃😀😃.Itoshe kusema tu kuwa huyo Macron ni mpuuzi mnoo 🚮