Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.

Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.

Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Hajuhi kama Shukurani ya Punda ni mateke!?
 
Inatakiwa umuelewe macron anamaanisha Israel ni nchi imepatikana kimchongo tu kwa sababu wenye nchi ni wapalestina. Sasa cha ajabu Netanyahu anawavimbia mpaka UN ambao ndio waliwapa nchi kinguvu haushangai hilo?
Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudi
 
Yaani mtu uliye panga chumba na sebule na unaendeshwa kama mbuzi na ccm , unamuita kiongozi wa taifa kubwa kijeshi na kiuchumi kuwa ni mpuuzi?😀😀😀😀😃😀😃.
Hahaha, kwanza ncheke😆
Humu ni mwendo wa I'd feki tuu, hata nikijieleza kuwa sipo hivyo ulivyosema utabisha, so haisaidii kitu!

Sasa wee MAAMUMA wa Buza kwa Mpalange unayeshindia kikombe cha kahawa na kashata moja kutwa nzima huku ukicheza bao na kuibia wenzio kwa chuma ulete, unamzidi nini Netanyahu unayemshutumu humu kila uchwao?!!!
 
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.

Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.

Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Rais Macron HANA UBAVU wa kupambana na Israel. Time will tell.
 
Tupe msitari unao taja neno Tz,kenya Ufaransa, ndani ya Bible.
Ya kwamba siku hizi sheria za kimataifa zinaongozwa kwa mujibu wa vitabu vya dini?
At least umeelewa. Qur'an Tukufu inawatambua Israel na ardhi yao vizuri sana. Achana na hiyo UN ambayo ni nothing mbele za Mola wetu mlezi na Kitabu chake kitukufu. Uko upande upi?
 
Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudi
Nimewauliza ni wapi Mola mlezi ametaja neno Palestina wanatoa mimacho tu!
 
Habari za kimisikitini usilete kwa watu wanaopenda ukweli.. msihamishe ibada zenu za uongo hadi kuleta uongo jf.

Lete tweeter au word of Marcon not third part shehe from Msikiti Tv
⚡️BREAKING: Emmanuel Macron criticizes Benjamin Netanyahu:

“Mr. Netanyahu must not forget that his country WAS CREATED BY A UN DECISION. He should not disregard their decisions.”

These remarks refer to the situation in southern Lebanon, marked by Israel’s repeated attacks on UN peacekeepers, which resulted in the death of four of them.

—Le Parisien
 
Hahaha, kwanza ncheke😆
Humu ni mwendo wa I'd feki tuu, hata nikijieleza kuwa sipo hivyo ulivyosema utabisha, so haisaidii kitu!

Sasa wee MAAMUMA wa Buza kwa Mpalange unayeshindia kikombe cha kahawa na kashata moja kutwa nzima huku ukicheza bao na kuibia wenzio kwa chuma ulete, unamzidi nini Netanyahu unayemshutumu humu kila uchwao?!!!
Kwahiyo unabisha ww huendeshwi kama mbuzi na CCM?
Hata ungekuwaje hufiki hata 000000000000%ya macron.

Mm simzidi chochote Netanyau bali yeye anashutumiwa kwa matendo na ukatili wake kama Hitra ,Musolin,mobotu,walivyo shutumiwa kwa uovu wao.
 
At least umeelewa. Qur'an Tukufu inawatambua Israel na ardhi yao vizuri sana. Achana na hiyo UN ambayo ni nothing mbele za Mola wetu mlezi na Kitabu chake kitukufu. Uko upande upi?
Ww nchi yako unayo ishi ambayo unashinda humu unatoa povu kutaka ccm ikutendee haki imeundwa kwa kifungu gani cha Bible?
Vipi hiyo nchi ya ahadi ya hao wahuni ingekuwa TZ ww ungekuwa tiyari kuondoka na kiwakabidhi mashamba zako na mali zako zote ,alafu ww uende kuishi kwenye kambi za wakimbizi?

Ww binafisi unaweza kutuonesha ushahidi wowote unao onesha ushahidi wa kuwa hapo unapo ishi ndo chimbuko la jamii yako?

Jamani tupunguze chuki tutangulize ubinadamu.
 
Mbona Macron anamuandama sana Netanyau,kuna nini kinasababisha mtifuano kati yao?
 
Kwahiyo unabisha ww huendeshwi kama mbuzi na CCM?
Wakikuteka wakakukula kichwa kama kawaida yao mie simo..
Hata ungekuwaje hufiki hata 000000000000%ya macron.
Hiyo haiondoi ukweli kuwa Macron ni hamnazo!
Mm simzidi chochote Netanyau bali yeye anashutumiwa kwa matendo na ukatili wake kama Hitra ,Musolin,mobotu,walivyo shutumiwa kwa uovu wao.
Ni makosa kulaumu anayejilinda baada ya kuvamiwa na matapeli, wezi, wanyang'anyi, wauaji makatili...

View: https://x.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=s7Qp7LsCkxnF0Cg5nKuU5g&s=09
 
Ww nchi yako unayo ishi ambayo unashinda humu unatoa povu kutaka ccm ikutendee haki imeundwa kwa kifungu gani cha Bible?
Vipi hiyo nchi ya ahadi ya hao wahuni ingekuwa TZ ww ungekuwa tiyari kuondoka na kiwakabidhi mashamba zako na mali zako zote ,alafu ww uende kuishi kwenye kambi za wakimbizi?

Ww binafisi unaweza kutuonesha ushahidi wowote unao onesha ushahidi wa kuwa hapo unapo ishi ndo chimbuko la jamii yako?

Jamani tupunguze chuki tutangulize ubinadamu.
Wapi nchi ya mafilisti imetajwa na muumba wa yote? Leo ndio unaujua ubinadamu?
 
Hii sio chuki, ni ugonjwa wa akili.
Kwakweli
Wakikuteka wakakukula kichwa kama kawaida yao mie simo..

Hiyo haiondoi ukweli kuwa Macron ni hamnazo!

Ni makosa kulaumu anayejilinda baada ya kuvamiwa na matapeli, wezi, wanyang'anyi, wauaji makatili...

View: https://x.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=s7Qp7LsCkxnF0Cg5nKuU5g&s=09

Watoto 20,000 nao walimvamia?
Kwani kati ya Netanyau na Wapalestina ninani alimvamia mwenzie?
Netanyau kaja pale mwaka 1960 wakati wapalestina wana maelfu ya miaka wanaishi hapo.

Ukiona moyo wako unafarijika kwa kushuhudia mateso dhidi ya binadamu wenzio ujue una ugonjwa mbaya sana wa akili.
 
Back
Top Bottom