Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ndiyo akili zako zilipoishia au bado nyingine zipo za akiba?
Mipaka ya Tanganyika uliitengeneza wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipaka ya Tanganyika uliitengeneza wewe?
SIO KWELI, TAIFA LA ISRAEL LILIKUWEPO KABLA MACRON HAJAZALIWANaona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Keshachukua si kazuia silaha yeye na spain, netanyahu amebaki anabweka kama mbwa malayaMacron naye anaanza kulalamika badala ya kuchukua hatua?
Wewe ndio unaijua israel kuliko macron, kweli kiboko ya wachawi hawezi kukosa wafuasi tanzania sasa hizo akili gani kweliMacron hana akili ndio maana anapata utelezi kwa kibibi kizee kilicho maliza kufanya ngono ..........jinga sana lile jitu
Wewe unaijua israel kuliko walioiunda na kuihudumia na kuilinda?mbona mnakuwa wajinga kiasi hichoSIO KWELI, TAIFA LA ISRAEL LILIKUWEPO KABLA MACRON HAJAZALIWA
Wajua kuwa Allah nae ni Mjinga kwa kusema Dunia hii ni tambarale na sio tufeWewe sidhani kama sio mgonjwa wa akili.
Ulivyomtetea kama alishawi kukupanda...... au muislam wewe ndio maana uipendi Israel.................nikukumbushe ile inchi haiwezi kufutwa wala kuifanya chochote hao mabwana zako .......Wewe ndio unaijua israel kuliko macron, kweli kiboko ya wachawi hawezi kukosa wafuasi tanzania sasa hizo akili gani kweli
Nani anachuki na waislam? uislam ndio unachukiwa na aliyesababisha kuanza chuki ni tahahira Allah hata Mudy pengine hakuwa na chuki aliambiwa na Allah japo proof ipo kuwa Mudy ndie Allah mwenyewe.. na kama Wewe unauamini uislam how come hujui kuwa chuki ndani ya Wakristo Allah ndie anazifanya... usitulaumu bali mlaumu Allah ndie IblisHivi hizo chuki zenu dhidi ya waisilam huwa zinatokana na nn hasa?
Marcon kaleweshwa basi harua na waislam hadi akili zimeruka Netanyahu kamjibu vizuri kama ni kweli Israael imepigana vita na nchi za waarabu akawashinda ndio uwepo wake na sio UN egemezi and Marcon akumbuke France vita ya Israel na Arabs country France ilichagua upande wa Arabs kinafiki na walishindwa.Macron kamchana Netanyahu na kumpa ukweli kuhusu chanzo cha taifa lake! Haya wafia dini uwanja wenu!
In clash with Netanyahu, Macron says Israel PM 'mustn't forget his country created by UN decision'
Referring to the resolution adopted in November 1947 by the United Nations General Assembly on the plan to partition Palestine into a Jewish state and an Arab state.
Macron warned Israel’s prime minister not to forget that “his country was created by a UN decision”.
![]()
Macron warns Netanyahu he ‘must not forget’ Israel was created by UN decision
Tensions between France and Israel have been on the rise as the situation deteriorates in Lebanon.www.politico.eu
![]()
Macron says Netanyahu 'mustn't forget his country was created by a UN decision'
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu told the French president he was 'opposed' to a ceasefire in Lebanon and hit back at his comments.www.lemonde.fr
Sasa na macron muislamu, gutierez muislamu? Tofauti yao na wewe ni akili ,wao wanafikiria wewe umedanganywa na kukaririshwaUlivyomtetea kama alishawi kukupanda...... au muislam wewe ndio maana uipendi Israel.................nikukumbushe ile inchi haiwezi kufutwa wala kuifanya chochote hao mabwana zako .......
Umeandika tumba nyingi badala ya kunijibu nilicho kuuliza.Nani anachuki na waislam? uislam ndio unachukiwa na aliyesababisha kuanza chuki ni tahahira Allah hata Mudy pengine hakuwa na chuki aliambiwa na Allah japo proof ipo kuwa Mudy ndie Allah mwenyewe.. na kama Wewe unauamini uislam how come hujui kuwa chuki ndani ya Wakristo Allah ndie anazifanya... usitulaumu bali mlaumu Allah ndie Iblis
Soma Quran kama ulifichwa ukiwa Madrassa ila Pure muslim wanajua na wanapractice chuki dhidi ya Wasio waislam... even kila siku tokea mudy akiwa hai mawaidha ni chuki dhidi yetu tu na huwezi pinga... na mmeambiwa muwe waongo hadi kiama. Non Muslim wote wanamchukulia Allah kuwa ni Shetani kwani anatabia zote za Iblis
Quran 5:14
And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded.1 So We caused among them2 animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allāh is going to inform them about what they used to do.
— Saheeh International
Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Je nikupe na aya inayosema Waislam wawauwe wakristo na wayahudi?
⚡️BREAKING: Emmanuel Macron criticizes Benjamin Netanyahu:
“Mr. Netanyahu must not forget that his country WAS CREATED BY A UN DECISION. He should not disregard their decisions.”
These remarks refer to the situation in southern Lebanon, marked by Israel’s repeated attacks on UN peacekeepers, which resulted in the death of four of them.
—Le Parisien
Quran 5:14 Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.Hii sio chuki, ni ugonjwa wa akili.
Sasa unategemea taifa kama la ufaransa ambao miaka yote wanaisaidia israel kwa funds na silaha litishwe na kubweka kwa netanyahu? Hivi huwa mnatumiaha akili kabla hamjaongea?Marcon kaleweshwa basi harua na waislam hadi akili zimeruka Netanyahu kamjibu vizuri kama ni kweli Israael imepigana vita na nchi za waarabu akawashinda ndio uwepo wake na sio UN egemezi and Marcon akumbuke France vita ya Israel na Arabs country France ilichagua upande wa Arabs kinafiki na walishindwa.
Netanyahu's 'reminder'
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu hit back, saying the country's founding was achieved by the 1948 Arab-Israeli war, not a UN ruling. "A reminder to the president of France: It was not the UN resolution that established the State of Israel, but rather the victory achieved in the war of independence with the blood of heroic fighters, many of whom were Holocaust survivors – including from the Vichy regime in France," Netanyahu said in a statement.
Israel ndiye mkiukaji mkubwa wa maazimio la UN ila hafanywi chochote sababu ya ulinzi wa kidiplomasia anaopewa na huo ulimwengu wa magharibi.Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Umeandika tumba nyingi badala ya kunijibu nilicho kuuliza.
Yaani umejaa chuki kiasi cha kutaka kupasuka.
Usinipangie cha kuamini mzeeSasa na macron muislamu, gutierez muislamu? Tofauti yao na wewe ni akili ,wao wanafikiria wewe umedanganywa na kukaririshwa
Israel hawajawahi kuwa wakristo na hawapendi wakristo ,ndio maana israel kuna waislamu wengi kuliko hata hao wakristo ambao hawazidi 2% huku waislamu wakiwa 20%
WEwe mungu wako yesu ambaye waisrael hawamuamini wala kumkubali, na walimuua ,vile vike hawaamini biblia
KWahiyo tumia akili acha kufuata mkumbo
Kafuatilie vita vya Arabs na Israel ujue France na Russia walikuwa side gani? ndio utajua Marcon anamaana gani...Sasa unategemea taifa kama la ufaransa ambao miaka yote wanaisaidia israel kwa funds na silaha litishwe na kubweka kwa netanyahu? Hivi huwa mnatumiaha akili kabla hamjaongea?
Sasa hivi netanyahu analia lia kutaka misaada iendelee nyie huku mmeshakarishwa ujinga mnaomgea ,huku mwenzenu analilia misaada
Familia ya Trillionea Major Rothschild ndio imeunda Jewish State of Israel not France.. Rothschild ndie mfadhiri wa Mataifa makubwa yote ikiwepo France la sivyo yengeshakufa siku nyingi kasome historia... Marcon nadhani hana muda mrefu atakaa bench.Wewe unaijua israel kuliko walioiunda na kuihudumia na kuilinda?mbona mnakuwa wajinga kiasi hicho
