Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Hata zingekuwa na miaka milioni. Shida iko wapi?. Kwa akili yako ushajazwa ujinga na mwarabu kuwa hakuna myahudi duniani. Cha ajabu unakubali kuwa uajemi na waamedi ni Iraq na Iran Ya Sasa. Na wafilisti ndiyo wenye Palestina siyo mwarabu na mwarabu pale siyo kwake pia.
Stori za kwenye vigango hizo hao wafilisti wako wapi sasa kama hapo ni kwao maana wayahudi wapo hao wafilisti wako wapi?
 
Nani kasema macron anapambana na Israel? Israel ana survive kwa support ya nchi za ulaya na Marekani kwa silaha na fedha. Macron amemweleza tu ukweli kuwa asijisahau nchi yake imetoka wapi. Na siyo kosa mtu kuambiwa ukweli naona mnajitahidi kukwepa point ya bwana macron.
Rais Macron knows his limits against Israel.
 
20241015_172806.jpg
 
Ukitafakari hisia iliyojificha, huu kauli ya MACRON ni kauli ya kujuta kuanzishwa kwa TAIFA la ISRAEL...
Wanaona hatari ya hii jamii, kama ambavyo HITLER aliona miaka ya karne iliyopita.

Kama kuna la balaa la kibinadamu litakuja kuikuta hii dunia basi architecture wa hilo ni JEWS
Itakua too late na wameshashika sehem nyeti sana, but the problem will be Islam hawawezi kubreak hapo
 
French President Macron:

“Prime Minister Netanyahu must remember that Israel was established through a United Nations resolution”

And I say to this French macaroon:
Israel was established by God’s decree!

“Before she was in labor, she gave birth;
Before her pain came,
She delivered a male child.

Who has heard such a thing?
Who has seen such things?
Shall the earth be made to give birth in one day?
Or shall a nation be born at once?
For as soon as Zion was in labor,
She gave birth to her children.

Shall I bring to the time of birth, and not cause delivery?” says the Lord.
“Shall I who cause delivery shut up the womb?” says your God.

“Rejoice with Jerusalem,
And be glad with her, all you who love her;
Rejoice for joy with her, all you who mourn for her;

(Isaiah 66:7-10)
It is true that the Biblical Israel Nation was formed under Yahweh decree. But for the current Israel Nation, Macron is right, because this Israel is inhabited by the Fake Jews who are of the synagogue of Satan as prophesized in the Holly Bible in Rev 2:9 & 3:9

Ukweli ni kuwa Ashkenazi sio descendants wa Yakobo (Israel) ambaye alitoka kwenye tawi la Shemu katika kizazi cha Nuhu. Bali ni descendants wa Gomeri mwana wa Jafeti mtoto wa kwanza wa Nuhu, Mwanzo 10:2-3.

Israelites wanatoka kwa Shemu, mtoto wa pili wa Nuhu katika mtiririko huu wa vizazi; Nuhu-Shemu-Arfaksadi-Sela- Eberi-Pelegi-Reu-Serugi-Nahori-Tera-Ibrahimu-Isaka-Yakobo-(kabila 12 za Israel ambazo zinatokana na watoto wa Yakobo)

Watoto wa Yakobo (Wana wa Israel) ni Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni, Yusuf, Benyamini, Dani, Naftali, Gadi na Asheri), Mwanzo 35:23-26.

Ukweli mwingine mchungu ambao wazungu pamoja na brainwashed African Christians hawataki kuusikia ni kuwa Yesu atazikusanya kabila 12 za Israel na center ya hili jambo itakuwa ni eneo lililoko Afrika beyond rivers of Ethiopia (kijiografia huku ni kusini mwa jangwa la Sahara), Sefania 3:8-13. Kwanini ni Afrika? Sababu ni kuwa Africa ndiko waliko wana wa Israel halisia. Kumbukumbu la torati 28:15-68 hapa utaona utabiri wa laana zitakazowapata wana wa Israel kwa kumuasi Mungu. Ukisoma utaiona Afrika, kilichotokea mababu zetu na kinachoendelea mpaka leo.

Soma hayo maandiko machache halafu husianisha na hao Ashkenazi Jews uone kama kuna hata chembe ya uhusiano na utabiri wa Kibiblia unaowahusu Biblical Israelites.
 
Stori za kwenye vigango hizo hao wafilisti wako wapi sasa kama hapo ni kwao maana wayahudi wapo hao wafilisti wako wapi?
Ndiyo useme wewe Sasa unaoamini hao siyo wayahudi. Bali waliletwa tu na wazungu. Ndiyo nikakwambia Kama ni hivyo kihistoria palestina wenyewe ni wafilisti. Ni Kama waajemi na waamedi ambayo ni Iraq na Iran. Sasa wewe unakuja na stori za 1947. Punguza store za kwenye alkasusu na vijiwe vya kahawa. Shida mkiambiwa ukweli mnaleta udini. Vigango vimeingiaje kobasi wewe. Acha UNAFIKI
 
Acha kukwepa hoja yangu bwanamdogo na blaa blaa nyingi zisizo na kichwa Wala miguu. Swali langu ni Moja umesema hakuna wapalestina Bali wenye hilo eneo ni wafilisti. Na unakubali kuwa hapo ni eneo la wayahudi sasa swali langu ni kuwa kama wayahudi wapo ambao wewe unaamini ndio eneo lao Je wafilisti wako wapi? Ambao nao umesema hapo ndio kwao?
 
Nimesema baada ya wewe kuropoka wale siyo wayahudi. Wewe ndiyo unakwepa unaleta mambo ya vigango. Mfilisti ndiyo mpalestina na Myahudi yupo na ana sehemu yake. Mnalazimishaje kuwa pale siyo kwa wayahudi ni wapalestina tu. Kwani Un si walitaka kuwapekeka Uganda wakakataa wakijua asili yao ni wapi.
 
Hakuna haja wakeshe waktupiana maneno tupu.Wavae mabukta wao wawili then wazchape na mchezo urushwe mubashara dunia mzima.
 
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.

Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.

Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Afu kuna vichaa wanakuambia taifa teule 😄
 
Nimesema baada ya wewe kuropoka wale siyo wayahudi. Wewe ndiyo unakwepa unaleta mambo ya vigango. Mfilisti ndiyo mpalestina na Myahudi yupo na ana sehemu yake. Mnalazimishaje kuwa pale siyo kwa wayahudi ni wapalestina tu. Kwani Un si walitaka kuwapekeka Uganda wakakataa wakijua asili yao ni wapi.
Nioneshe mahali nimeandika kuwa wale siyo wayahudi. Nioneshe hapa hiyo comment.
 
Hitler angefyeka na kumaliza huu uzao wa ibilisi , ingekuwa dunia mahala pema sana pa kuishi
 
Kuna wapumbavu wamo humu hawajui historia nzima ya huu mgogoro , wanadhani hao vibaka toka Europe ndio wamiliki halali wa hiyo ardhi
Washenzi wavamizi malowezi wauwaji
 
Back
Top Bottom