Na biblia imetaja sana palestinaTupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.
Kipindi Cha nabii musa au. Maana shida yenu mnawangalia wayahudi Kama watu walitokea tu mwaka 1947 tu. Si Kama kizazi ambacho kilikuwepo siku zote Kama wengine. Alafu myahudi yupo kwenye vita miaka na miaka nani anapenda kwenda kukaa kwenye vitu kwa kupelekwa tu?. Ukifiatilia hata hapo palestina siyo kwa waarabu ni wafilisti na walipigana toka nyakati za Samson. Na Delila ni Mfilisti.Netanyahu anasema wamepigana vita na wapalestina wakashinda ndio wakapata uhuru. Sasa jiulize unawakuta watu katika nchi Yao unawapiga na kuwaondoa halafu unasema umepigania uhuru haiingii akilini hii.