Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Macron hana akili ndio maana anapata utelezi kwa kibibi kizee kilicho maliza kufanya ngono ..........jinga sana lile jitu
 
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.

Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.

Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
SIO KWELI, TAIFA LA ISRAEL LILIKUWEPO KABLA MACRON HAJAZALIWA
 
Wewe ndio unaijua israel kuliko macron, kweli kiboko ya wachawi hawezi kukosa wafuasi tanzania sasa hizo akili gani kweli
Ulivyomtetea kama alishawi kukupanda...... au muislam wewe ndio maana uipendi Israel.................nikukumbushe ile inchi haiwezi kufutwa wala kuifanya chochote hao mabwana zako .......
 
Hivi hizo chuki zenu dhidi ya waisilam huwa zinatokana na nn hasa?
Nani anachuki na waislam? uislam ndio unachukiwa na aliyesababisha kuanza chuki ni tahahira Allah hata Mudy pengine hakuwa na chuki aliambiwa na Allah japo proof ipo kuwa Mudy ndie Allah mwenyewe.. na kama Wewe unauamini uislam how come hujui kuwa chuki ndani ya Wakristo Allah ndie anazifanya... usitulaumu bali mlaumu Allah ndie Iblis

Soma Quran kama ulifichwa ukiwa Madrassa ila Pure muslim wanajua na wanapractice chuki dhidi ya Wasio waislam... even kila siku tokea mudy akiwa hai mawaidha ni chuki dhidi yetu tu na huwezi pinga... na mmeambiwa muwe waongo hadi kiama. Non Muslim wote wanamchukulia Allah kuwa ni Shetani kwani anatabia zote za Iblis

Quran 5:14
And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded.1 So We caused among them2 animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allāh is going to inform them about what they used to do.
— Saheeh International

Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.
— Ali Muhsin Al-Barwani

Je nikupe na aya inayosema Waislam wawauwe wakristo na wayahudi?
 
Macron kamchana Netanyahu na kumpa ukweli kuhusu chanzo cha taifa lake! Haya wafia dini uwanja wenu!

In clash with Netanyahu, Macron says Israel PM 'mustn't forget his country created by UN decision'​

Referring to the resolution adopted in November 1947 by the United Nations General Assembly on the plan to partition Palestine into a Jewish state and an Arab state.

Macron warned Israel’s prime minister not to forget that “his country was created by a UN decision”.

Marcon kaleweshwa basi harua na waislam hadi akili zimeruka Netanyahu kamjibu vizuri kama ni kweli Israael imepigana vita na nchi za waarabu akawashinda ndio uwepo wake na sio UN egemezi and Marcon akumbuke France vita ya Israel na Arabs country France ilichagua upande wa Arabs kinafiki na walishindwa.

Netanyahu's 'reminder'​

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu hit back, saying the country's founding was achieved by the 1948 Arab-Israeli war, not a UN ruling. "A reminder to the president of France: It was not the UN resolution that established the State of Israel, but rather the victory achieved in the war of independence with the blood of heroic fighters, many of whom were Holocaust survivors – including from the Vichy regime in France," Netanyahu said in a statement.
 
Ulivyomtetea kama alishawi kukupanda...... au muislam wewe ndio maana uipendi Israel.................nikukumbushe ile inchi haiwezi kufutwa wala kuifanya chochote hao mabwana zako .......
Sasa na macron muislamu, gutierez muislamu? Tofauti yao na wewe ni akili ,wao wanafikiria wewe umedanganywa na kukaririshwa
Israel hawajawahi kuwa wakristo na hawapendi wakristo ,ndio maana israel kuna waislamu wengi kuliko hata hao wakristo ambao hawazidi 2% huku waislamu wakiwa 20%
WEwe mungu wako yesu ambaye waisrael hawamuamini wala kumkubali, na walimuua ,vile vike hawaamini biblia
KWahiyo tumia akili acha kufuata mkumbo
 
Nani anachuki na waislam? uislam ndio unachukiwa na aliyesababisha kuanza chuki ni tahahira Allah hata Mudy pengine hakuwa na chuki aliambiwa na Allah japo proof ipo kuwa Mudy ndie Allah mwenyewe.. na kama Wewe unauamini uislam how come hujui kuwa chuki ndani ya Wakristo Allah ndie anazifanya... usitulaumu bali mlaumu Allah ndie Iblis

Soma Quran kama ulifichwa ukiwa Madrassa ila Pure muslim wanajua na wanapractice chuki dhidi ya Wasio waislam... even kila siku tokea mudy akiwa hai mawaidha ni chuki dhidi yetu tu na huwezi pinga... na mmeambiwa muwe waongo hadi kiama. Non Muslim wote wanamchukulia Allah kuwa ni Shetani kwani anatabia zote za Iblis

Quran 5:14
And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded.1 So We caused among them2 animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allāh is going to inform them about what they used to do.
— Saheeh International

Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.
— Ali Muhsin Al-Barwani

Je nikupe na aya inayosema Waislam wawauwe wakristo na wayahudi?
Umeandika tumba nyingi badala ya kunijibu nilicho kuuliza.
Yaani umejaa chuki kiasi cha kutaka kupasuka.
 
⚡️BREAKING: Emmanuel Macron criticizes Benjamin Netanyahu:

“Mr. Netanyahu must not forget that his country WAS CREATED BY A UN DECISION. He should not disregard their decisions.”

These remarks refer to the situation in southern Lebanon, marked by Israel’s repeated attacks on UN peacekeepers, which resulted in the death of four of them.

—Le Parisien

Netanyahu's 'reminder'​

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu hit back, saying the country's founding was achieved by the 1948 Arab-Israeli war, not a UN ruling. "A reminder to the president of France: It was not the UN resolution that established the State of Israel, but rather the victory achieved in the war of independence with the blood of heroic fighters, many of whom were Holocaust survivors – including from the Vichy regime in France," Netanyahu said in a statement.
 
Hii sio chuki, ni ugonjwa wa akili.
Quran 5:14 Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.
— Ali Muhsin Al-Barwani

And from those who say, "We are Christians" We took their covenant; but they forgot a portion of that of which they were reminded.1 So We caused among them2 animosity and hatred until the Day of Resurrection. And Allāh is going to inform them about what they used to do.
— Saheeh International

وَمِنَ ٱلَّذِينَ قَالُوٓا۟ إِنَّا نَصَـٰرَىٰٓ أَخَذْنَا مِيثَـٰقَهُمْ فَنَسُوا۟ حَظًّۭا مِّمَّا ذُكِّرُوا۟ بِهِۦ فَأَغْرَيْنَا بَيْنَهُمُ ٱلْعَدَاوَةَ وَٱلْبَغْضَآءَ إِلَىٰ يَوْمِ ٱلْقِيَـٰمَةِ ۚ وَسَوْفَ يُنَبِّئُهُمُ ٱللَّهُ بِمَا كَانُوا۟ يَصْنَعُونَ ١٤
 
Marcon kaleweshwa basi harua na waislam hadi akili zimeruka Netanyahu kamjibu vizuri kama ni kweli Israael imepigana vita na nchi za waarabu akawashinda ndio uwepo wake na sio UN egemezi and Marcon akumbuke France vita ya Israel na Arabs country France ilichagua upande wa Arabs kinafiki na walishindwa.

Netanyahu's 'reminder'​

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu hit back, saying the country's founding was achieved by the 1948 Arab-Israeli war, not a UN ruling. "A reminder to the president of France: It was not the UN resolution that established the State of Israel, but rather the victory achieved in the war of independence with the blood of heroic fighters, many of whom were Holocaust survivors – including from the Vichy regime in France," Netanyahu said in a statement.
Sasa unategemea taifa kama la ufaransa ambao miaka yote wanaisaidia israel kwa funds na silaha litishwe na kubweka kwa netanyahu? Hivi huwa mnatumiaha akili kabla hamjaongea?
Sasa hivi netanyahu analia lia kutaka misaada iendelee nyie huku mmeshakarishwa ujinga mnaomgea ,huku mwenzenu analilia misaada
 
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.

Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.

Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Israel ndiye mkiukaji mkubwa wa maazimio la UN ila hafanywi chochote sababu ya ulinzi wa kidiplomasia anaopewa na huo ulimwengu wa magharibi.

Israel itaendelea kuidharau UN maana ndiyo imelelewa hivyo na kina uncle Sam na wenzake.
 
Umeandika tumba nyingi badala ya kunijibu nilicho kuuliza.
Yaani umejaa chuki kiasi cha kutaka kupasuka.

Quran ndio Tumba, Uislam hanisumbui kwa sababu ujinga wote unapatikana kwa Allah.. be careful any word uki use aganst me i will use stupid Quran kukujibu. Nimekupa Aya ya Quran kuwa anayepandikiza chuki ni Allah na uislam wake. au huamini Quran sababu ni stupid book?

Mimi Sina chuki i told bali Uongo hauna nafasi hapa sababu Uongo ni Iblis and Allah ana claim kuwa yeye ndie mkuu wa Waongo

Quran 3:54 Wa makaroo wa makaral laahu wallaahu khairul maakireen (Mdanganyifu,and kind of kama Taperi , mzungukaji n.k)
Pickthall
: And they (the disbelievers) schemed, and Allah schemed (against them): and Allah is the best of schemers.
وَمَكَرُوا۟ وَمَكَرَ ٱللَّهُ ۖ وَٱللَّهُ خَيْرُ ٱلْمَـٰكِرِينَ ٥٤
 
Sasa na macron muislamu, gutierez muislamu? Tofauti yao na wewe ni akili ,wao wanafikiria wewe umedanganywa na kukaririshwa
Israel hawajawahi kuwa wakristo na hawapendi wakristo ,ndio maana israel kuna waislamu wengi kuliko hata hao wakristo ambao hawazidi 2% huku waislamu wakiwa 20%
WEwe mungu wako yesu ambaye waisrael hawamuamini wala kumkubali, na walimuua ,vile vike hawaamini biblia
KWahiyo tumia akili acha kufuata mkumbo
Usinipangie cha kuamini mzee
 
Sasa unategemea taifa kama la ufaransa ambao miaka yote wanaisaidia israel kwa funds na silaha litishwe na kubweka kwa netanyahu? Hivi huwa mnatumiaha akili kabla hamjaongea?
Sasa hivi netanyahu analia lia kutaka misaada iendelee nyie huku mmeshakarishwa ujinga mnaomgea ,huku mwenzenu analilia misaada
Kafuatilie vita vya Arabs na Israel ujue France na Russia walikuwa side gani? ndio utajua Marcon anamaana gani...

Anajua Hezbollah wanampango gani n.k Israel akiwa anatetea uhai wake hamna kima atasimama mbele aachwe na ujinga wake kisa kuogopa waislam wapumbavu wenye nie mbaya na iliyo wazi.. Ogopa watu wanaojifanya victims kwa matatizo waliyoyatengeneza wao.. France anaijua vizuri Hezbollah hata vita ile ya kuondosha PLO ya Arafat France ndie aliingilia PLO ikapona akapeleka jeshi kusimamia amani na akaacha Hezbollah wajijenge na kuhamishwa uhamishoni Africa.. Kwa kipi France anachokipendea kwa Israel zaidi ya unafiki tu
 
Wewe unaijua israel kuliko walioiunda na kuihudumia na kuilinda?mbona mnakuwa wajinga kiasi hicho
Familia ya Trillionea Major Rothschild ndio imeunda Jewish State of Israel not France.. Rothschild ndie mfadhiri wa Mataifa makubwa yote ikiwepo France la sivyo yengeshakufa siku nyingi kasome historia... Marcon nadhani hana muda mrefu atakaa bench.

Familia ya Rothschild inasema ina haki ya kutawala Dunia kwani wana DNA ya kimiungu ya kale utake usitake

Challenges

Emmanuel Macron et Rothschild, l'éternelle machine à fantasmes - ChallengesEmmanuel Macron et Rothschild, l'éternelle machine à fantasmes - Challenges

Emmanuel Macron et Rothschild, l'éternelle machine à fantasmes - Challenges​

Back
Top Bottom